Mizungu yazidi kucharukwa

Spear

JF-Expert Member
Jun 21, 2008
507
28
Hali sio ya kawaida tena kwa wageni wa kisilamu katika nchi za wazungu ,swali langu najiuliza hivi jee ukiwa mkiristo mweusi utasalimika na misukosuko inayokuta waisilamu katika nchi za wazungu ?kwani hivi karibuni kumetokea wimbi la wa Tanzania wakiristo katika nchi za ulaya kuvaa vidani vikubwa vyenye nembo kubwa ya msalaba huku wakiwacha vifuwa wazi ,kwakuamini wataepukana na wimbi hili la chuki za kidini lakini wakati huo huo hujisahau kuwa na wao ni wageni kama walivyo waisilamu wanaoshi katika nchi hizo.

BONYEZA HAPA CHNI
Anger as Italian MP praises Norway gunman - Europe - Al Jazeera English
 
nawasihi wabongo wenzangu tusije tukajiingiza katika mambo ya kibaguzi wala kushabikia. Nilikuwa nashabikia sana haya mambo lakini nilijifunza mwaka 2005. Don't use a chorus judgement, hatakama ni majority wenye tabia fulani kumbuka kunaambao hawapo unavyo fikiri... na ukiwabagua au kuwahukumu watu kwa dini yao ww utabaguliwa kwa rangi, kabila, utaifa, ukoo na hata familia.
 
nakubaliana na wewe mkuu. Kama wazungu wangekuwa wabaguzi tusungekanyaga kwao. Weusi kibao kwenye nchi zao, no doubt wapo wabaguzi wachahce lakini huwezi kuwasema vibaya wote kwa kosa la mnorway mmoja na wabunge wache wa italia. maneno ya kibaguzi ni hatari.
 
nawasihi wabongo wenzangu tusije tukajiingiza katika mambo ya kibaguzi wala kushabikia. Nilikuwa nashabikia sana haya mambo lakini nilijifunza mwaka 2005. Don't use a chorus judgement, hatakama ni majority wenye tabia fulani kumbuka kunaambao hawapo unavyo fikiri... na ukiwabagua au kuwahukumu watu kwa dini yao ww utabaguliwa kwa rangi, kabila, utaifa, ukoo na hata familia.

Mkuu ulichosema ni sahihi kabisa. As long as una ngozi nyeusi ktk dunia hii basi wewe utabaguliwa na kila watu uwe mkristo ama muislam hutokwepa hilo.
Wazungu wanatubagua
Waarabu wanatubagua
Wahindi wanatubagua
Chotara wanatubagua
Wachina wanatubagua
Wahabeshi wanatubagua
Hata wasomali ambao ngozi yao ni nyeusi tiiii kama mpingo still wanatubagua.
Haijalishi uwe mkristu ama muislamu wewe utabaguliwa tuu as long as ngozi yako ni nyeusi
 
Wenyewe kwa wenyewe tunabaguana, au umesahau?

"devide them and rule them"
 
Ni kweli kabisa, miafrika wenyewe kwa wenyewe tunabaguana, na ukizidi kui-break down mpaka watu kwenye ukoo mmoja tunabaguana, inaendelea hadi within a family hatupendani. Basi ni tafrani tupu. Mungu atusamehe
 
Hata jf kunaubaguzi hasa kwa new members wanadharauliwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom