Mizuka ndio hii

Mizuka ndio hii

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
kls-wmk.php

:bange:
 
Hii itakuwa sio Tz,kwa sababu hata hizo chupa za Bia zinaonekana sio Brand za Tz.
Ila sio mbaya. ''Kua uyaone''. Na ukishayaona,kaa kimya. Namaanisha ''Live your life''
 
sio bangi hiyo jamani, ni shisha hata Tz ipo sana tu kwenye pub na club mbalimbali. Ni kama sigara tu ila inakuwa na ladha mbalimbali kama vile za matunda n.k
 
Hii iko sehemu nyingi katika mahoteli na migahawa hapa TZ. Sasa kipi cha kushangaza
 
hiyo sio bia ni pombe kali bia ni hizo Guinness kwa nyuma
 
Back
Top Bottom