Mizinga mpaka lini?

Mizinga mpaka lini?

Usitafute umaarufu wala nini ili manze za humu zikushobokee kuwa unajua!! Kumbuka nimefupisha maongezi kwa jinsi alivokuwa anaongea na mimi .......nikishajiongeza acha uchoko bhasi niko vizuri ndo maan kqqnza kunitafuta usiku mnene najua fika stor zake.
Sasa umaarufu wann ??? Kwanza siupendi umaarufu japokua natakiwa kua maarufu!!

Alafu pia brother ,Mimi sipendi kushobokewa hata kidogoooooo ,, sasa shobo zinisaidie nini???

Ungejua ,, huwa najitahidi kuishi kuepukana namambo kama hayo uloyataja ,,ndio maana kwangu Mimi kila kitu kipo sawa .[emoji123] [emoji120]
 
Back
Top Bottom