Napenda sana hii Elimu boss ninapopata muda nasoma kidogo sio mtupu sana zana kama Manpads, Stingers, Iskander, Sam(Surface to air Missiles), Air to surface missile's, grunets, Neptune, Topida, S300&400..nkSamahani lakini umepitia kidogo elimu ya Ballistics?
Hiyo mizinga cha mdoli inapiga km80 tu Hapa Kiduku ana scude,B52 hiyo inatoka bara moja kwenda jingine kwa speed ya km4000 kwa dakika.IMAGINE😳Napenda sana hii Elimu boss ninapopata muda nasoma kidogo sio mtupu sana zana kama Manpads, Stingers, Iskander, Sam(Surface to air Missiles), Air to surface missile's, grunets, Neptune, Topida, S300&400..nk
Napenda kuzipitia angalau nami nisiwe nyuma sana
Okay ngoja nikipata utulivu tuchangie vitu flani.Napenda sana hii Elimu boss ninapopata muda nasoma kidogo sio mtupu sana zana kama Manpads, Stingers, Iskander, Sam(Surface to air Missiles), Air to surface missile's, grunets, Neptune, Topida, S300&400..nk
Napenda kuzipitia angalau nami nisiwe nyuma sana
Duuu ar you sure kaka mkubwaHiyo mizinga cha mdoli inapiga km80 tu Hapa Kiduku ana scude,B52 hiyo inatoka bara moja kwenda jingine kwa speed ya km4000 kwa dakika.IMAGINE[emoji15]
T14 Armata changia kidogo hapa tafadhali...Sina Utaalamu wa zana za Kivita ila nimevutiwa kuijua zaidi mizinga hiyo ya Kivita natumai humu kuna wajuzi/wajuvi wa mambo hayo.
HIMARS tangu zimeingia Ukraine kutoka Marekani zimebadilisha kila kitu wao wanaziita game changer, na Marekani kaziingiza nne tu pale Ukraine ila Warusi wanaziwinda kwa kila njia kupitia Drones zao, Su, Mig zao...nk
Sio Ajabu sana kushangaa Jana Wizara ya Ulinzi ya Russia imesema imeziharibu 2 ila Waziri wa Ukraine alikuja kukanusha.
Rais wa Marekani Biden aliwapa Ukraine Aina ya Short/minimum range akiogopa kuwapa za Long range kwa kuhofia jamaa wanaweza kugusa pale Moscow.
Ukiangalia kwa Sasa Maghala mengi ya Silaha za Warusi ni moto kila kona, HIMARs zinafanya kazi Ukraine wanasema wangepewa hizi mapema wangepunguza maafa na pia vifo.
Baada ya Mizinga hii kutua Ukraine, Russia wameanza mafunzo ya kulilinda Daraja linalounganisha Crimea wakihofia jamaa wanaweza kuligusa, nimeona Warusi wamepeleka magari pale kazi yake yanatoa Moshi mwingi na kulificha daraja yanaitwa sijui Smoke nini.. Sio mtaalamu sana.
Mtaalamu/wataalamu wa haya mambo waje watupe maarifa zaidi.
Inaonyesha ni ngumu Sana kuzitrack na kuziharibu hizi HIMARS maana zinaweza hamishwa muda wowote.Hapo kwenye daraja linalounganisha Crimea na eneo lingine la Urusi majeshi ya Urusi yanafanya smoke screen ila haisaidii sana kwa kuwa daraja ni stationary target, smoke screen huwa na msaada zaidi kama target ni movable kwahiyo inabidi uipate yenyewe hivyo moshi unakumbaza ujue sio hicho unachotafuta. Mbinu mwenzake na smoke screen ni camouflage.
HIMARS pamoja na kwamba zinafanya kazi ila ni za gharama kubwa sana. Maroketi hayo yana range kubwa na accuracy kuliko maroketi ya Warusi kina Grad, Smerch na Tornado (ambazo hizi kwa sasa sijaona zimetumika wapi).
HIMARS zina uharaka wa kupakia maroketi na kuwasha mfumo mzima tangu target acquisition, tracking, firing hadi kufunga mfumo na kutoweka eneo la tukio. Hii inasaidia kwamba HIMARS inaweza toka uko ikasogea karibu na adui ikamkaribia kama 20km hivi, ikafyatua maroketi yakaenda ndani kwa adui kama 120km (range yake kubwa ni 300km ila hizi roketi hazijapelekwa). Uko yakaharibu enemy fortification, command center, ammunition dump, etc. Hivi vitu ni lazima viwe vya thamani kubwa maana HIMARS ni ghali. Ndani ya dakika baada ya kufyatua mfumo unafungwa na gari lake linakimbia mbio kurudi mafichoni, si lazima lirudi kituoni. Hapo kule kwa Urusi kuna counter battery radar ambayo husoma ni wapi makombora ya adui yanatokea, hii hutoa pinpoit location kabisa. Warusi wakishasoma hii inabidi waagize howitzers zilizopo mbele kushambulia ambapo HIMARS zimesomeka. Huo muda HIMARS zishakimbia zamani sana.
Lengo ni kwamba HIMARS zikishashambulia deep behind enemy lines ndipo uku mbele majeshi ya Urusi yanakosa ammunition kama zimelipuka kule nyuma, au command center imeshambuliwa haitoi maagizo. Hii inapunguza nguvu na kasi ya kushambulia ya Urusi.
Kidogo nisahau. HIMARS zinaweza fanya coordinated attack, moja iko Mbezi nyingine Kigamboni na nyingine Mlimani City zikashambulia parking ya magari iliyopo Mlandizi kwa pamoja. Hii ina mswada mkubwa kwenye mazingira fulani
Me tooLet me subscribe this topic
Nakwambia hivi siku ya kushehekea uhuru hapa ni maonyesho na ku test makombora hapa unakumbuka ile iliyo rushwa ikaenda kutua baharini pwani ya Carlifonia USA??Duuu ar you sure kaka mkubwa
Scud mbona makombora ya zamani sana hayo alikua nayo Saddam/Iraq kwa wingi hata wataleban wanayo hayo
B52 mbona ndege za Kivita za Marekani hizo zinabeba makombora na Sio Combat war plane
Makombora yanayopiga bara moja hadi lingine ni ICBM/Inter continental ballistic missiles'
Hebu pitia tena Nondo zako kidogo
Inaitwa smoked pork.Sina Utaalamu wa zana za Kivita ila nimevutiwa kuijua zaidi mizinga hiyo ya Kivita natumai humu kuna wajuzi/wajuvi wa mambo hayo.
HIMARS tangu zimeingia Ukraine kutoka Marekani zimebadilisha kila kitu wao wanaziita game changer, na Marekani kaziingiza nne tu pale Ukraine ila Warusi wanaziwinda kwa kila njia kupitia Drones zao, Su, Mig zao...nk
Sio Ajabu sana kushangaa Jana Wizara ya Ulinzi ya Russia imesema imeziharibu 2 ila Waziri wa Ukraine alikuja kukanusha.
Rais wa Marekani Biden aliwapa Ukraine Aina ya Short/minimum range akiogopa kuwapa za Long range kwa kuhofia jamaa wanaweza kugusa pale Moscow.
Ukiangalia kwa Sasa Maghala mengi ya Silaha za Warusi ni moto kila kona, HIMARs zinafanya kazi Ukraine wanasema wangepewa hizi mapema wangepunguza maafa na pia vifo.
Baada ya Mizinga hii kutua Ukraine, Russia wameanza mafunzo ya kulilinda Daraja linalounganisha Crimea wakihofia jamaa wanaweza kuligusa, nimeona Warusi wamepeleka magari pale kazi yake yanatoa Moshi mwingi na kulificha daraja yanaitwa sijui Smoke nini.. Sio mtaalamu sana.
Mtaalamu/wataalamu wa haya mambo waje watupe maarifa zaidi.
Marekani wana military satellites ambazo huona kila takataka inayotembea ardhini, wanaweza ona ana handaki kwa kutumia technology ileile inayopima mafuta au madini kutoka angani, ukichimba andaki kule angani wataona somewhere ardhi inakosekana kuna uwazi.Inaonyesha ni ngumu Sana kuzitrack na kuziharibu hizi HIMARS maana zinaweza hamishwa muda wowote.
Ila tofauti yake na zile howitzers ambazo zipo kwenye magari makubwa (malori) ni range tu na coordinate attack ?...
Coordinate attack si lazima itahusisha signal fulani, je hakuna radar za kutrack kuziona movable target kama hiyo inapohamishwa?
Mtaalamu wa NATO na stories za vijiweni. Mkumbuke Russia sio zimbabwe au LibyaHapo kwenye daraja linalounganisha Crimea na eneo lingine la Urusi majeshi ya Urusi yanafanya smoke screen ila haisaidii sana kwa kuwa daraja ni stationary target, smoke screen huwa na msaada zaidi kama target ni movable kwahiyo inabidi uipate yenyewe hivyo moshi unakupumbaza ujue sio hicho unachotafuta. Mbinu mwenzake na smoke screen ni camouflage.
HIMARS pamoja na kwamba zinafanya kazi ila ni za gharama kubwa sana. Maroketi hayo yana range kubwa na accuracy kuliko maroketi ya Warusi kina Grad, Smerch na Tornado (ambazo hizi kwa sasa sijaona zimetumika wapi).
HIMARS zina uharaka wa kupakia maroketi na kuwasha mfumo mzima tangu target acquisition, tracking, firing hadi kufunga mfumo na kutoweka eneo la tukio. Hii inasaidia kwamba HIMARS inaweza toka uko ikasogea karibu na adui ikamkaribia kama 20km hivi, ikafyatua maroketi yakaenda ndani kwa adui kama 120km (range yake kubwa ni 300km ila hizi roketi hazijapelekwa). Uko yakaharibu enemy fortification, command center, ammunition dump, etc. Hivi vitu ni lazima viwe vya thamani kubwa maana HIMARS ni ghali. Ndani ya dakika baada ya kufyatua mfumo unafungwa na gari lake linakimbia mbio kurudi mafichoni, si lazima lirudi kituoni. Hapo kule kwa Urusi kuna counter battery radar ambayo husoma ni wapi makombora ya adui yanatokea, hii hutoa pinpoit location kabisa. Warusi wakishasoma hii inabidi waagize howitzers zilizopo mbele kushambulia ambapo HIMARS zimesomeka. Huo muda HIMARS zishakimbia zamani sana.
Lengo ni kwamba HIMARS zikishashambulia deep behind enemy lines ndipo uku mbele majeshi ya Urusi yanakosa ammunition kama zimelipuka kule nyuma, au command center imeshambuliwa haitoi maagizo. Hii inapunguza nguvu na kasi ya kushambulia ya Urusi.
Kidogo nisahau. HIMARS zinaweza fanya coordinated attack, moja iko Mbezi nyingine Kigamboni na nyingine Mlimani City zikashambulia parking ya magari iliyopo Mlandizi kwa pamoja. Hii ina msaada mkubwa kwenye mazingira fulani