WatesiWETU
Senior Member
- Jan 2, 2022
- 106
- 246
Wana Jamii naombeni msaada mtaalamu wa kuvunja mizimu na madhabahu za Koo za Kichaga.
Mimi ni mwanaume wa miaka 33, Mchaga wa Kilema, Mlo,
Lakini chagamoto kuu ni kushikiliwa na Madhababu ya Ukoo, ingawaje tangu nimezaliwa sikuwahi shiriki kwenye matambiko maana tulikulia mjini na baba alikuwa msomi hivyo hakuwa mtu wakushiriki mambo ya matambiko ingawaje naambiwa katika ujana wake alikuwa akishiriki maana ilikuwa ni lazima kwa mambo yakilimila na kwa kifupi kwenye ukoo wetu matambiko yalisha stop miaka zaidi ya 40 iliyopita.
Hata hivyo, naambiwa ule ukoo wetu ulikuwa una Matambiko na mizimu yake ilikuwa ina nguvu sana, inasemekana ilikuwa wakikosea masharti lazima mtu afe au matatizo makubwa yatokee.. Ingawa baadaye miaka ilivyo enda vizazi vipya akina sisi hatukuja kufuatilia tena na wengi wetu tulikuwa wasomi.
Kilicho nileta kwenu nikuwa , Ukoo umekuwa ukipuputika kwa magonjwa ya kufanana yaan ni sukari na mbaya zaidi Wengine huwehuka . tume wapoteza wazee wote kwenye ukoo, baada ya kumalizika watu wa makamu wote tumebaki vijana kila kaya kwenye ukoo kuna vijana tu.. sasa shughuli ni kila anayepata kazi nzuri ya elimu yake anafukuzwa kwa style ile ile utadhani maboss wanajuana kumbe ni mikoa tofauti sector tofauti, na ukishafukuzwa hupati tena kazi hata ufanye maombi kwa makanisa yote, sasa kila tunapo enda kwenye maombi kwa nyakati tofauti tena kila mtu katika mkoa wake..watumishi wamekuwa wakitwambia tunafutatiliwa na mizimu.. yaan story ni hizo hizo.. hivi ninavyo andika sasa nina miaka 7 tangu nifukuzwe kazi bila kosa na kila ninacho fanya hela yote inapotea biashara haziendi , mbaya zaidi tangu mwaka 2015 nilipofukuzwa kazi mpaka leo nisha apply makampuni mengi lakini siitwi na ikitoke ukaitwa ukafanya interview itaenda mpaka mchujo wa mwisho, na nitaitwa kwemye negotiation ya mshahara vizuri kisha uta ambiwa nenda tutakwambia siku yakuanza kazi.. yaani hapo ndio inakuwa imetoka ukija kufuatilia wenzako unakuta wameitwa kazini siku tatu tu baada ya interview.. hii imetokea mara nyingi sana. Yaan unaapply mara 100 mpaka hata mara 200 kwa mwaka huitwi.. lakin kama ikitokea ukaitwa wale Panalist au maboss wanao kufanyia interview wanakufurahia sana na unaona wanashangaa kwanini umekaa muda mrefu bila kazi na uwezo unao(hapo unakuta umeonekana umewashinda wenzio kwa uwezo wa interview na kujibu mswali yao).. lakin baada stage ya mwisho, unashangaa bila sababu kaajiriwa mwingine.
Jambo lingine ni Vijana wote katika ukoo hawa owi.. yaan mahusiano haya kai ni kuachan na maugovi kila mara, na ukijitahidi ukafikia hatua ya kuoa, hiyo vita na huyo mwanamke uta tamani ndoa ivunjike mwenyewe, hata ndugu wenyewe kwa wenyewe kuna msimu unafikia wanalipuka maugomvi hadi damu zina mwajika mapanga ngumi haziishi.
Hivyo naombeni wachaga au makabila mengine yenye kujua jinsi ya kumpata mtumishi mwenye nguvu na sifa za kuvunja madhabahu za ukoo na mizimu kuodolewa katika koo ikafungiwe kuzimu, angalau tupate amani, anisaidie..maana nimezunguka kwa watumishi wote wakubwa katika tanzania hii yaan listi yangu inaonyesha nimesha tembelea watumishi 23 mpaka sasa wote wakubwa mnao wajua dar es salama hii.. na wote wanaona tatizo ni hasira za mizimu kutaka tuka isujudie kwa kuanza kuichinjia.. na mimi nimepambana miaka yote kuikataa kusujidia mambo yalio fanywa na mababu zangu.. naitaji Mungu wa kweli ingawaje nasali sana ila nashangaa sana hili swala limeendelea kuwa zito na miaka inaenda, wenzangu nilio soma nao wamesha oa, wana kazi nzuri na watoto na baadhi washa jenga. ila mm ndio kama vile naanza maisha kila siku bila mafanikioa.
Tafadhali kama una jua mtaalamu wa kuvunja roho za mizimu na madhababu ya mababu.. unipe connections.
Asanteni