Mizengo Pinda anazunguka mikoani akifanya mikutano kama nani ?

Azunguke tuu huyo hana madhara kuongea kwenyewe shida...... labda anatafuta wanunuzi wa asali iliyotengenezwa kitaalamu na wauza mizinga ya nyuki........................... akili zangu za week end hizo
 
tumemtahadharisha makusudi asije kuleta lawama , akiwa kiongozi hakuwahi kutegemea polisi , lakini sasa inaonekana anachanganyika na wategemea polisi .
Nadhani amekusikia, ameogopa na amerudi nyumbani kwake.
Nyie mkishika nchi vibali vya ku-smile tutaenda kuviomba serikali ya mtaa.
 
Ukweli.ni kwamba kagunduwa kuwa kilimo hakilipi juu ya ukweli wa.kwamba anapata pensheni nene lakini bado kaona ngoma ngumu. Njia pekee ya kujiengezea kipato basi ni kurudi kwenye siasa. Hii inaonesha namna gani wakulima Tanzania wanakuwa na hali ngumu kimaisha!
 
Back
Top Bottom