Mizengo Pinda anazunguka mikoani akifanya mikutano kama nani ?

Huyu Mzee ni miongoni mwa viongozi niliowaheshimu sana , hasa ule uwezo wake wa kujibu maswali alipokuwa TAMISEMI , lakini sasa naanza kudhani labda ile heshima nilimpa kimakosa , maana sasa ameamua mwenyewe kutukwaza wote tuliomheshimu.

Anazurula kwenye mikoa na majimbo kuhangaikia ccm huku akifahamu ukandamizaji mkubwa wa demokrasia na haki za kidemokrasia , anafahamu kwamba kuna katazo la kinyama la kuzuia wanasiasa wa upinzani majukwaani , anafahamu kwamba yeye mwenyewe hana jimbo lakini anashiriki uchafuzi wa akina Humphrey Polepole huku akiiweka kando heshima yake kwa jamii , je amelogwa ?

Nikuambie tu mzee wangu Pinda umeamua kuwachokoza wananchi , sasa wakiamua kujibu mapigo usimlilie mtu , endelea na mipango yako

View attachment 1051342
Hivi mnadhani CCM ni kundi kama yalivyo makundi mengine?

No CCM ni chama na kina myandao mkubwa sio wajinga wajinga wa siasa za mitandaoni kama wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Mzee ni miongoni mwa viongozi niliowaheshimu sana , hasa ule uwezo wake wa kujibu maswali alipokuwa TAMISEMI , lakini sasa naanza kudhani labda ile heshima nilimpa kimakosa , maana sasa ameamua mwenyewe kutukwaza wote tuliomheshimu.

Anazurula kwenye mikoa na majimbo kuhangaikia ccm huku akifahamu ukandamizaji mkubwa wa demokrasia na haki za kidemokrasia , anafahamu kwamba kuna katazo la kinyama la kuzuia wanasiasa wa upinzani majukwaani , anafahamu kwamba yeye mwenyewe hana jimbo lakini anashiriki uchafuzi wa akina Humphrey Polepole huku akiiweka kando heshima yake kwa jamii , je amelogwa ?

Nikuambie tu mzee wangu Pinda umeamua kuwachokoza wananchi , sasa wakiamua kujibu mapigo usimlilie mtu , endelea na mipango yako

View attachment 1051342

Hata ukimchukia Mzee Pinda ambaye tena ni Waziri Mkuu Mstaafu nchini atapungukiwa na nini? Hivi Wewe una Hadhi gani au ipi Kwake hadi udhani kuwa kwa Kumchukia Kwako Wewe au Kumdharau basi ndiyo halalisho la kwa Watanzania wote tuliopo hapa ndani na nje? CCM ndiyo Chama Tawala na Chama Dola pia hivyo sioni tatizo kwa Mzee Pinda kupita huku na kule Kukijenga Chama cha Mapinduzi huku akihimiza Maendeleo na Kukiongezea Ushawishi zaidi. Subiri nawe Chama chako Kikipata dhamana ya Kuwaongoza Watanzania labda hapo mwaka wa 9000 ndipo mtakuja kuyafanya hayo ambayo Wewe na Wenzako mnayaota ila kwa sasa CCM ndiyo Serikali na Serikali ndiyo CCM halafu hata Mzee Pinda nae ni CCM na bado ' Kiitifaki ' ni Mtu wa Serikali vile vile. Tumewachokeni sasa Wapinzani na Majungu, Upuuzi na Makelele yenu yasiyo na Mantiki, Tija wala Manufaa kwa nchi.
 
Mapovu yanaruhusiwa
 
ni kweli , lakini mbona tukizunguka tunakamatwa , huku mizengo pinda asiye na future yoyote akiachwa ?
Unajuaje kama hana future yoyote?naanza kuwa na mashaka na wewe kuliko hata huyo unayemuongelea.Nahisi kama una wivu wa kisiasa na huo ndiyo ulofa wenyewe.
 
Huyu Mzee ni miongoni mwa viongozi niliowaheshimu sana , hasa ule uwezo wake wa kujibu maswali alipokuwa TAMISEMI , lakini sasa naanza kudhani labda ile heshima nilimpa kimakosa , maana sasa ameamua mwenyewe kutukwaza wote tuliomheshimu.

Hapa ndipo huwa mnakosea sanaErythro, Yeye amepewa hiyo kazi aifanye na hao waliowakataza nyinyi.

Na kwa kweli kwa hili siwaelewi nyinyi mnapolalamika na kujifanya hamjui linaloendelea.

Ngoja nikuulize swali: hivi ingekuwaje nanyi kadandia hapo hapo kwenye ziara hizo? Anapotua, nanyi mnakuwepo pembeni na watu wenu. Si mnao watu wenu nchi nzima? Sasa huku kulialia kutasaidia nini rafiki yangu Erythro!

Ukweli ndio huo, CCM wamekwishaanza kampeni za chaguzi, hapa nyinyi mkijifanya hamuoni na hamjui linaloendelea!

Nyinyi mna mkakati gani wa kujibu mapigo? Waliwaeleza kwamba kuna kipenga kitapulizwa kuwaonyesha kuwa mchezo umeanza?

Hata kama anafanya mazoezi, kwa nini nanyi msimtafute mzee wenu mmoja naye azunguke huko anakozungukia Pinda. Hata kama ni kupita katika matawi yenu huko vijijini kimya kimya kama anavyofanya Pinda, akirekebisha na kunyoosha mambo ili hapo mtakapokuwa tayari na kampeni nanyi muwe mmejiandaa vizuri - kwa nini msiige, badala ya ulalamishi tuuu kila mara!
 
Hata ukimchukia Mzee Pinda ambaye tena ni Waziri Mkuu Mstaafu nchini atapungukiwa na nini? Hivi Wewe una Hadhi gani au ipi Kwake hadi udhani kuwa kwa Kumchukia Kwako Wewe au Kumdharau basi ndiyo halalisho la kwa Watanzania wote tuliopo hapa ndani na nje? CCM ndiyo Chama Tawala na Chama Dola pia hivyo sioni tatizo kwa Mzee Pinda kupita huku na kule Kukijenga Chama cha Mapinduzi huku akihimiza Maendeleo na Kukiongezea Ushawishi zaidi. Subiri nawe Chama chako Kikipata dhamana ya Kuwaongoza Watanzania labda hapo mwaka wa 9000 ndipo mtakuja kuyafanya hayo ambayo Wewe na Wenzako mnayaota ila kwa sasa CCM ndiyo Serikali na Serikali ndiyo CCM halafu hata Mzee Pinda nae ni CCM na bado ' Kiitifaki ' ni Mtu wa Serikali vile vile. Tumewachokeni sasa Wapinzani na Majungu, Upuuzi na Makelele yenu yasiyo na Mantiki, Tija wala Manufaa kwa nchi.
Comrade!tena hqpa nazidi kuwadharau hawa ufipa wilderbeest kwa kuligeuza JF playform kuwa kama ndio ofisi yao kuu,
nimegundua kwamba wanashindwa kujenga jata ofisi ya ghorofa moja,pamoja na kupewa 360 mlns kama ruzuku lakini wamebaki nyumba ya kupanga ufipa huku wabunge wao wakijazana humu kutukana ovyo.
Shame on them....

Wamejawa sumu hadi kwenye meno,ukimpa mbunge wa chadema mhogo mbichi aking'ata unageuka rangi saa hiyo hiyo na kuwa mweusi.
Viva magufuli 2020=2025 hakuna kipingamizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwacheni mzee huyu, inawezekana anatetea ugali wake usije ukamwagwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni chadema tu ndio haina wazee wenye busara hata kidogo.wenzenu ccm wako kibao na inajua kuwatumia.
Wakati nyinyi mnatumia wavuta bangi kina H.mduu sisi tuna bench limesheni wataalamu wa siasa.
Pinda ni mwana ccm mwandamizi na anafanya kazi za chama.
Alistaafu utumishi wa umma lakini sio siasa.

FULL STOP

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ndipo huwa mnakosea sanaErythro, Yeye amepewa hiyo kazi aifanye na hao waliowakataza nyinyi.

Na kwa kweli kwa hili siwaelewi nyinyi mnapolalamika na kujifanya hamjui linaloendelea.

Ngoja nikuulize swali: hivi ingekuwaje nanyi kadandia hapo hapo kwenye ziara hizo? Anapotua, nanyi mnakuwepo pembeni na watu wenu. Si mnao watu wenu nchi nzima? Sasa huku kulialia kutasaidia nini rafiki yangu Erythro!

Ukweli ndio huo, CCM wamekwishaanza kampeni za chaguzi, hapa nyinyi mkijifanya hamuoni na hamjui linaloendelea!

Nyinyi mna mkakati gani wa kujibu mapigo? Waliwaeleza kwamba kuna kipenga kitapulizwa kuwaonyesha kuwa mchezo umeanza?

Hata kama anafanya mazoezi, kwa nini nanyi msimtafute mzee wenu mmoja naye azunguke huko anakozungukia Pinda. Hata kama ni kupita katika matawi yenu huko vijijini kimya kimya kama anavyofanya Pinda, akirekebisha na kunyoosha mambo ili hapo mtakapokuwa tayari na kampeni nanyi muwe mmejiandaa vizuri - kwa nini msiige, badala ya ulalamishi tuuu kila mara!

Intelligencia ya .....itwaacha?
 
Huyu Mzee ni miongoni mwa viongozi niliowaheshimu sana , hasa ule uwezo wake wa kujibu maswali alipokuwa TAMISEMI , lakini sasa naanza kudhani labda ile heshima nilimpa kimakosa , maana sasa ameamua mwenyewe kutukwaza wote tuliomheshimu.

Anazurula kwenye mikoa na majimbo kuhangaikia ccm huku akifahamu ukandamizaji mkubwa wa demokrasia na haki za kidemokrasia , anafahamu kwamba kuna katazo la kinyama la kuzuia wanasiasa wa upinzani majukwaani , anafahamu kwamba yeye mwenyewe hana jimbo lakini anashiriki uchafuzi wa akina Humphrey Polepole huku akiiweka kando heshima yake kwa jamii , je amelogwa ?

Nikuambie tu mzee wangu Pinda umeamua kuwachokoza wananchi , sasa wakiamua kujibu mapigo usimlilie mtu , endelea na mipango yako

View attachment 1051342
Amelogwa yeye au wewe?

Wananchi gani anaowaudhi wakati mimi naunga mkono zunguko lake...

BTW wewe usipomheshimu hakutamwondolea heshima yake. Pambaneni na hali zenu acheni siasa za kike.

Huyo ni kada wa CCM anafanya kazi za CCM kama ilivyo kwa Sumaye kada wa Chadema.
 
Wewe nawe umezidi kulalamika ...Mizengo Pinda ni mwana Ccm ,Ulitegemea afanye nini ? Unafikiria yeye hajui power alizo nazo Rais ? Kama kaagizwa na Rais ulitaka akatae ?

Maajabu ni kwamba unajua kabisa vyama vingine vimenyimwa fair play ground na ccm wanalindwa na dola kufanya hayo

Pinda wa watu unamuonea bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom