Mizengo Pinda anazunguka mikoani akifanya mikutano kama nani ?

Hata ukimchukia Mzee Pinda ambaye tena ni Waziri Mkuu Mstaafu nchini atapungukiwa na nini? Hivi Wewe una Hadhi gani au ipi Kwake hadi udhani kuwa kwa Kumchukia Kwako Wewe au Kumdharau basi ndiyo halalisho la kwa Watanzania wote tuliopo hapa ndani na nje? CCM ndiyo Chama Tawala na Chama Dola pia hivyo sioni tatizo kwa Mzee Pinda kupita huku na kule Kukijenga Chama cha Mapinduzi huku akihimiza Maendeleo na Kukiongezea Ushawishi zaidi. Subiri nawe Chama chako Kikipata dhamana ya Kuwaongoza Watanzania labda hapo mwaka wa 9000 ndipo mtakuja kuyafanya hayo ambayo Wewe na Wenzako mnayaota ila kwa sasa CCM ndiyo Serikali na Serikali ndiyo CCM halafu hata Mzee Pinda nae ni CCM na bado ' Kiitifaki ' ni Mtu wa Serikali vile vile. Tumewachokeni sasa Wapinzani na Majungu, Upuuzi na Makelele yenu yasiyo na Mantiki, Tija wala Manufaa kwa nchi.
Hizi ni akili za wapi?
Ni wapi imeandikwa kuwa chama kinachokuwa madarakani ndiyo chenye Uhuru wa kuzunguka na kufanya mikutano ila vingine visifanye hivyo?
Wewe ni moja ya vizazi ambavyo bado vinalijuonyesha kuwa mtu mweusi bado yupo gizani.
AM THE STATE AND LAW...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom