MIXX BY YAS na misemo ya kihuni

cha asubuhi 😁 wahuni bhana
 
Sio hawa walianzisha kifurushi wakaita 'cha asubuhi '
 
Au mbususu
 
Msibishe, hayo ni matusi ya kingono na wenyewe wanajua maana hiyo. Lengo lao ni kubuni kitu/neno lenye msisimko ili kusisimua biashara yao. Kuna wengine wa redio wana kipindi kinaitwa bao la asubuhi. Wote hawa ni kulenga soko kwa vijana, vijana ni wengi huletewa lugha zao za kusisimua, mpaka kuna bidhaa inaitwa mshangazi ili tu kunasa vijana
 
Na wale BAO LA ASUBUHI je?
 
Mtaani nako kuna mbaba mtu mzima anauza koni, hutembeza koni kwa kusema ilambe, kama hujailamba inapita hiyo. Hiyo nayo imekaa kingonongono, ilambe nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…