Nadhani amesema kuwa tatizo la CCM ni kuwa Viongozi wake wanajiuzulu nyadhifa za chama na hawataki kujiuzulu nyadhifa za serikalini wanapofanya vibaya,kwani huku ndio wanatuumiza watanzania kwa utendaji wao mbaya.............................Kwa maneno mengine ni bora waendelee kukaa kwenye nyadhifa zao za chama kuliko kuendelea kukaa kwenye nyadhifa za serikalini wakati wanafanya vibaya...