Mivutano yaanza kuzuka ndani ya UKAWA

Mivutano yaanza kuzuka ndani ya UKAWA

Kuna madai kuwa UKAWA wamepatiwa fedha, tena nyingi na mfadhili ama wafadhili wa nje ya Tanzania, lakini fedha hizo zinaishia mifukoni mwa kiongozi mmoja ama wawili wa umoja huo, usiosajiliwa na unaoendesha shughuli zake za kisiasa, bila hati zozote za kuuhalalisha kuendesha shughuli za kisiasa.

Cha ajabu huohuo umoja usiosajiliwa unapewa kibali cha kufanya mikutano, hadi sasa hivi wameshafanya mikutano Unguja na Pemba. Hivi kweli kwa serikali ya ccm walivyo na gubu na ukawa wangewaacha tu kama ukawa hawatambuliki?

Huenda wasiwe wanatambulika rasmi lakini wanachokihubiri kinaeleweka kwa wananchi. Kinachonishangaza wana ccm wengi wanasema umoja wa ukawa hautadumu cha ajabu ukawa ndio imekua hoja ya kushikia bango kuanzia wabunge wa waliobaki kwenye BMT hadi wafuasi wa ccm uraiani. Kwa nini wasikae kimya ukawa ikafa yenyewe kama mnayaamini maneno yenu?
 
Time is the best cure!!
Tuupe tu muda
Yes, only time will tell.

Hatutashangaa tukianza kusikia sauti za baadhi ya watu wakidai mjumbe fulani amehongwa na CCM kuigawa UKAWA kama ilivyo kawaida ya kuficha ukweli kwa kukimbia vivuli vyao.
 
yaani mnajadili habari ya upinzani kutoka habari leo iliyoletwa na gamba...
 
Hizo ni janja za CCM kutaka kuichafua UKAWA kwa kupitia vyombo vya habari.

Muwe makini na munavyovisikia. ☔️
 
Mambo mengine hayaelezeki. Mfano wananchi wenye hasira kali wavamie hicho kituo na kualibu mitambo yote inayotumika kuchochea migogoro na chuki, waziri wa habari atajibu nini? Au jeshi litasema nini? Kwamba wananchi wanajichukulia sheria mkononi?....

Maombi yangu ni kuwa wanaharakati na kituo cha haki za binadamu watuwekee record vizuri ili mambo yakiaribika iwe lahisi kupata reference za nani alisema nini na alifanya nini. Tunakoelekea ndo huko....
 
yaani mnajadili habari ya upinzani kutoka habari leo iliyoletwa na gamba...
Hizi ni akili za kibavicha!.

Ndugu, kwani wewe kwa sasa umefanya nini?.

Kama hufahamu, hata kuandika tu comment ni kuchangia achilia mbali kugusia mada iliyoko ndani ya thread.
 
WAKATI viongozi wa kile kinachoitwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wanaonesha kushikamana hadharani, habari za ndani ya Umoja huo zinasema kuwa mivutano imeanza kuzuka huku baadhi ya viongozi wake wakitaka kurejea Bunge Maalum la Katiba.

Habari kutoka ndani ya Umoja huo zinasema kuwa angalau viongozi wawili wa vyama vinavyounda UKAWA wanataka kurejea bungeni na kushiriki mchakato wa kutunga Katiba mpya wakati Bunge hilo litakapoanza tena Agosti mwaka huu.

Habari zinasema kuwa viongozi hao wawili, wanataka kurejea tena bungeni kwa sababu wameanza kubaini kuwa kuna ujanja mwingi ndani ya UKAWA na kuwa baadhi ya vyama vinavidanganya na kuvitumia vingine, bila kuonekana kwa faida yoyote dhahiri.

“Tulisusa Bunge kwa pamoja, lakini sasa inaanza kuonekana kuwa wapo wenzetu ambao wana maslahi binafsi na kuonekana kututumia sisi kwa manufaa yao ya kisiasa na hata kifedha,” anasema mmoja wa viongozi wa UKAWA, ambaye anahisi baadhi ya wenzao wanapata maslahi zaidi kuliko wengine.

Kuna madai kuwa UKAWA wamepatiwa fedha, tena nyingi na mfadhili ama wafadhili wa nje ya Tanzania, lakini fedha hizo zinaishia mifukoni mwa kiongozi mmoja ama wawili wa umoja huo, usiosajiliwa na unaoendesha shughuli zake za kisiasa, bila hati zozote za kuuhalalisha kuendesha shughuli za kisiasa.

Viongozi wa vyama CUF, Chadema, NCCR-Mageuzi na vyama vingine vidogo vidogo walisusa Bunge Maalumu la Katiba mwezi uliopita, wakiazimia kuendesha kampeni ya kutafuta Katiba mpya nje ya Bunge, kupitia mikutano ya hadhara ya wananchi. UKAWA walifanya mkutano wao wa kwanza mjini Zanzibar juzi.

Wakati haya yakitokea ndani ya UKAWA, Rais Kikwete ametoa siku nyingine 60 za nyongeza kwa Bunge Maalum la Katiba ili kukamilisha kazi waliyopewa wabunge wa bunge Maalum la Katiba.

Rais Kikwete alisema, “Waliomba nyongeza ya muda nikawapa siku 60, ni matumani ya ngu ndani ya siku hizo watafikia maridhiano na kutuletea Katiba bora, hakutakuwa na muda wa nyongeza, tukiongeza zaidi ya hapo itakuwa ni mwaka mzima tunafanya jambo hilo hilo,” alisema Rais Kikwete, ambaye aliongeza siku 60 baada ya bunge hilo kusuasua kutokana na kutawaliwa na malumbano na mabishano, hivyo kushindwa kufikia makubaliano katika masuala kadhaa kabla ya kuanza kujadili Rasimu ya Katiba iliyowasilishwa na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba.

Rais Kikwete alisema wananchi watachoka kusikia na kuangalia jambo hilo hilo, wakati kuna mambo mengi ya kufanya, hivyo ni vyema wajumbe wa Bunge hilo wakajikita katika kuvumiliana na kufikia maridhiano.

“Tukiongeza zaidi ya hapo ni kazi, itakuwa mwaka mzima tunazungumzie jambo moja watu watachoka kuona jambo hilo hilo, tunataka kuona na kufanya mambo mengine,” alibainisha.

Alisema iwapo Katiba mpya itashindwa kupatikana kwa kipindi hicho, Katiba ya sasa itaendelea kutumika na mchakato huo utaanza upya mbele ya safari.

“Wakishindwa kutupa katiba inayopemndekezwa, itabidi tusitishe mchakato hadi mbeleni,” alisema bila kufafanua zaidi.
Chanzo: Habarileo.

Acheni tujadili bajeti ya 19T. Masuala ya Ukawa na katiba kwasasa hatuyataki maana ninyi mnataka tujadiri mambo ya katiba tu!
 
UKAWA wanatetea rasimu ya katiba kama ilivyowasilishwa na Mwenyekiti wa Tume. Yale maoni yalikuwa ni ya wananchi hivyo hata mkiwateka wajumbe wote wa UKAWA, mkawapeleka Mabwepande, mkawang'oa meno na kucha bila ganzi au mkawanyamazisha kama mlivyomnyamazisha Dr. Sengodo Mvungi, maoni ya wananchi yako pale pale. MwanaDiwani, naomba nikukumbushe, kuna dhambi hazisameheki!
 
Last edited by a moderator:
Acheni tujadili bajeti ya 19T. Masuala ya Ukawa na katiba kwasasa hatuyataki maana ninyi mnataka tujadiri mambo ya katiba tu!
Ndugu, wewe uko hapa pia unajadili UKAWA halafu unaanza kulalamika kama wanaJF wengine ndiyo wanajikita katika mambo ya Katiba.

Unatakiwa uanzishe mjadala kama unadhani kuna jambo ambalo ni muhimu katika fikra zako zaidi ya mjadala wa Katiba.
 
yani duniani kuna maajabu yan hao hao wafadhili wakisupport budget yetu wanaonekana wema au wa maana sana il hao hao wafadhili wakisupport wapinzani wanaonekana wanataka kuvuruga amani ya nchi hiyo ndo inaitwa double standard of the highest order.... we sometimes neeed to be ashamed of our actions
 
WAKATI viongozi wa kile kinachoitwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wanaonesha kushikamana hadharani, habari za ndani ya Umoja huo zinasema kuwa mivutano imeanza kuzuka huku baadhi ya viongozi wake wakitaka kurejea Bunge Maalum la Katiba.

Habari kutoka ndani ya Umoja huo zinasema kuwa angalau viongozi wawili wa vyama vinavyounda UKAWA wanataka kurejea bungeni na kushiriki mchakato wa kutunga Katiba mpya wakati Bunge hilo litakapoanza tena Agosti mwaka huu.

Habari zinasema kuwa viongozi hao wawili, wanataka kurejea tena bungeni kwa sababu wameanza kubaini kuwa kuna ujanja mwingi ndani ya UKAWA na kuwa baadhi ya vyama vinavidanganya na kuvitumia vingine, bila kuonekana kwa faida yoyote dhahiri.

“Tulisusa Bunge kwa pamoja, lakini sasa inaanza kuonekana kuwa wapo wenzetu ambao wana maslahi binafsi na kuonekana kututumia sisi kwa manufaa yao ya kisiasa na hata kifedha,” anasema mmoja wa viongozi wa UKAWA, ambaye anahisi baadhi ya wenzao wanapata maslahi zaidi kuliko wengine.

Kuna madai kuwa UKAWA wamepatiwa fedha, tena nyingi na mfadhili ama wafadhili wa nje ya Tanzania, lakini fedha hizo zinaishia mifukoni mwa kiongozi mmoja ama wawili wa umoja huo, usiosajiliwa na unaoendesha shughuli zake za kisiasa, bila hati zozote za kuuhalalisha kuendesha shughuli za kisiasa.

Viongozi wa vyama CUF, Chadema, NCCR-Mageuzi na vyama vingine vidogo vidogo walisusa Bunge Maalumu la Katiba mwezi uliopita, wakiazimia kuendesha kampeni ya kutafuta Katiba mpya nje ya Bunge, kupitia mikutano ya hadhara ya wananchi. UKAWA walifanya mkutano wao wa kwanza mjini Zanzibar juzi.

Wakati haya yakitokea ndani ya UKAWA, Rais Kikwete ametoa siku nyingine 60 za nyongeza kwa Bunge Maalum la Katiba ili kukamilisha kazi waliyopewa wabunge wa bunge Maalum la Katiba.

Rais Kikwete alisema, “Waliomba nyongeza ya muda nikawapa siku 60, ni matumani ya ngu ndani ya siku hizo watafikia maridhiano na kutuletea Katiba bora, hakutakuwa na muda wa nyongeza, tukiongeza zaidi ya hapo itakuwa ni mwaka mzima tunafanya jambo hilo hilo,” alisema Rais Kikwete, ambaye aliongeza siku 60 baada ya bunge hilo kusuasua kutokana na kutawaliwa na malumbano na mabishano, hivyo kushindwa kufikia makubaliano katika masuala kadhaa kabla ya kuanza kujadili Rasimu ya Katiba iliyowasilishwa na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba.

Rais Kikwete alisema wananchi watachoka kusikia na kuangalia jambo hilo hilo, wakati kuna mambo mengi ya kufanya, hivyo ni vyema wajumbe wa Bunge hilo wakajikita katika kuvumiliana na kufikia maridhiano.

“Tukiongeza zaidi ya hapo ni kazi, itakuwa mwaka mzima tunazungumzie jambo moja watu watachoka kuona jambo hilo hilo, tunataka kuona na kufanya mambo mengine,” alibainisha.

Alisema iwapo Katiba mpya itashindwa kupatikana kwa kipindi hicho, Katiba ya sasa itaendelea kutumika na mchakato huo utaanza upya mbele ya safari.

“Wakishindwa kutupa katiba inayopemndekezwa, itabidi tusitishe mchakato hadi mbeleni,” alisema bila kufafanua zaidi.
Chanzo: Habarileo.
Eti kiongozi mmoja amesema...Huu ni uandishi wa kikanjanja usiokua na weledi.Gazeti la Serikali linatumia udaku kama mhimili wake wa kiuandishi?
 
UKAWA wanatetea rasimu ya katiba kama ilivyowasilishwa na Mwenyekiti wa Tume. Yale maoni yalikuwa ni ya wananchi hivyo hata mkiwateka wajumbe wote wa UKAWA, mkawapeleka Mabwepande, mkawang'oa meno na kucha bila ganzi au mkawanyamazisha kama mlivyomnyamazisha Dr. Sengodo Mvungi, maoni ya wananchi yako pale pale. MwanaDiwani, naomba nikukumbushe, kuna dhambi hazisameheki!
Yeah, Kama ilivyo dhambi ya ubaguzi wa fikra, dini, kanda na kabila inayoendelea kuvitafuna baadhi ya vyama kupitia baadhi ya viongozi wake ambao kwa sasa wanajitahidi kukimbia vivuli vyao kwa kuanzisha muungano wanaouita UKAWA.
 
Hela wanapewa kwa malengo au wanahongwa tu????!!!
Wanapewa cash au wanawekewa kwenye accounts binafsi???!!!
Kama ni wafadhili na wanaitoa wameridhika na matumizi issue nini??!!!
Kama wanafarakana si ndio mwanzo wa kuwa imara???!!!
Hao waliobaki huko bungeni na aliyekuwa mwenyekiti wa tume wana amani gani???!!!

Tuangalie Taifa kwanza hizi njaa zenu za vyama zinawatoa akili kabisa!!!

ungemuuliza kwanza swali dogo tu, je ana ufahamu wowote kuhusu money laundry ?
 
CCM wameshaingia hofu kufuatia kasi hii ya umoja wa UKAWA,kinachotokea sasa naamini kinapangwa na viongozi waandamizi wa CCM kujaribu kuisambaratisha UKAWA. Ndio maana utasikia mara hivi mara vile.Huo ni uoga tu. CCM itasambaratika kama ilivyokuwa kwa KANU Kenya au vyama vingine vingi tu vilivyokuwepo toka enzi za Uhuru. "You can foul some peoples for some times but you cant foul all the peoples all the times"

Mkuu naomba unielimishe: Hivi UKAWA ni SACCOS, NGO, Chama au kitu gani?
 
Yeah, Kama ilivyo dhambi ya ubaguzi wa fikra, dini, kanda na kabila inayoendelea kuvitafuna baadhi ya vyama kupitia baadhi ya viongozi wake ambao kwa sasa wanajitahidi kukimbia vivuli vyao kwa kuanzisha muungano wanaouita UKAWA.
Lukuvi, Asha Bakari, John Komba, Mwigulu Nchemba...the shadow knows best!
 
yani duniani kuna maajabu yan hao hao wafadhili wakisupport budget yetu wanaonekana wema au wa maana sana il hao hao wafadhili wakisupport wapinzani wanaonekana wanataka kuvuruga amani ya nchi hiyo ndo inaitwa double standard of the highest order.... we sometimes neeed to be ashamed of our actions

Hivi watu wanapewa fedha ili waache kazi waliyopewa na wananchi ya kutunga Katiba wewe unaona ni sawa?
 
WAKATI viongozi wa kile kinachoitwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wanaonesha kushikamana hadharani, habari za ndani ya Umoja huo zinasema kuwa mivutano imeanza kuzuka huku baadhi ya viongozi wake wakitaka kurejea Bunge Maalum la Katiba.

Habari kutoka ndani ya Umoja huo zinasema kuwa angalau viongozi wawili wa vyama vinavyounda UKAWA wanataka kurejea bungeni na kushiriki mchakato wa kutunga Katiba mpya wakati Bunge hilo litakapoanza tena Agosti mwaka huu.

Habari zinasema kuwa viongozi hao wawili, wanataka kurejea tena bungeni kwa sababu wameanza kubaini kuwa kuna ujanja mwingi ndani ya UKAWA na kuwa baadhi ya vyama vinavidanganya na kuvitumia vingine, bila kuonekana kwa faida yoyote dhahiri.

“Tulisusa Bunge kwa pamoja, lakini sasa inaanza kuonekana kuwa wapo wenzetu ambao wana maslahi binafsi na kuonekana kututumia sisi kwa manufaa yao ya kisiasa na hata kifedha,” anasema mmoja wa viongozi wa UKAWA, ambaye anahisi baadhi ya wenzao wanapata maslahi zaidi kuliko wengine.

Kuna madai kuwa UKAWA wamepatiwa fedha, tena nyingi na mfadhili ama wafadhili wa nje ya Tanzania, lakini fedha hizo zinaishia mifukoni mwa kiongozi mmoja ama wawili wa umoja huo, usiosajiliwa na unaoendesha shughuli zake za kisiasa, bila hati zozote za kuuhalalisha kuendesha shughuli za kisiasa.

Viongozi wa vyama CUF, Chadema, NCCR-Mageuzi na vyama vingine vidogo vidogo walisusa Bunge Maalumu la Katiba mwezi uliopita, wakiazimia kuendesha kampeni ya kutafuta Katiba mpya nje ya Bunge, kupitia mikutano ya hadhara ya wananchi. UKAWA walifanya mkutano wao wa kwanza mjini Zanzibar juzi.

Wakati haya yakitokea ndani ya UKAWA, Rais Kikwete ametoa siku nyingine 60 za nyongeza kwa Bunge Maalum la Katiba ili kukamilisha kazi waliyopewa wabunge wa bunge Maalum la Katiba.

Rais Kikwete alisema, “Waliomba nyongeza ya muda nikawapa siku 60, ni matumani ya ngu ndani ya siku hizo watafikia maridhiano na kutuletea Katiba bora, hakutakuwa na muda wa nyongeza, tukiongeza zaidi ya hapo itakuwa ni mwaka mzima tunafanya jambo hilo hilo,” alisema Rais Kikwete, ambaye aliongeza siku 60 baada ya bunge hilo kusuasua kutokana na kutawaliwa na malumbano na mabishano, hivyo kushindwa kufikia makubaliano katika masuala kadhaa kabla ya kuanza kujadili Rasimu ya Katiba iliyowasilishwa na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba.

Rais Kikwete alisema wananchi watachoka kusikia na kuangalia jambo hilo hilo, wakati kuna mambo mengi ya kufanya, hivyo ni vyema wajumbe wa Bunge hilo wakajikita katika kuvumiliana na kufikia maridhiano.

“Tukiongeza zaidi ya hapo ni kazi, itakuwa mwaka mzima tunazungumzie jambo moja watu watachoka kuona jambo hilo hilo, tunataka kuona na kufanya mambo mengine,” alibainisha.

Alisema iwapo Katiba mpya itashindwa kupatikana kwa kipindi hicho, Katiba ya sasa itaendelea kutumika na mchakato huo utaanza upya mbele ya safari.

“Wakishindwa kutupa katiba katika muda tuliowapa, itabidi tusitishe mchakato hadi mbeleni,” alisema bila kufafanua zaidi.
Chanzo: Habarileo.

Madhali Chanzo ni JAMBALEO na Mleta mada ni MwanaDiwani ...Hii naichukulia kama propaganda nyingine nyingi za kipuuzi! kama kweli wako serious wataje hao viongozi, wataje hao wafadhili na watueleze hizo fedha zimeingia ktk a/c ipi na kiasi gani...Kamwe siwezi hata siku moja nikasoma gazeti ambalo Mhariri wake ni Le Mutuz!!!
 
Ndugu, nadhani hata unachokiandika hukielewi achilia mbali mhariri na gazeti unalolitaja.
 
Yeah, Kama ilivyo dhambi ya ubaguzi wa fikra, dini, kanda na kabila inayoendelea kuvitafuna baadhi ya vyama kupitia baadhi ya viongozi wake ambao kwa sasa wanajitahidi kukimbia vivuli vyao kwa kuanzisha muungano wanaouita UKAWA.

Kwani CCM nao wamejiunga na UKAWA? Vinara wa Wabaguzi wa Dini, Rangi, Kabila, Ukanda wanaongozwa na: Lukuvi, Nchemba, Nape, Asha Bakari, Komba, Membe, Sitta na Makonda...Hawa wamezoea kutukana na kuwabagua Watanzania Majukwaani na hata Bungeni...hawa wamehakikisha Sheikh Ponda hapati dhamana na kuwa anafungwa kwa tuhuma za uongo (Rejeeni alichokisema Lwakatare)! Sasa hivi Sheikh Ponda amewekewa Mawakili, Prosecutor, Hakimu wote wa CCM wenye upogo wa dini moja ! Haiingii akilini Mtuhumiwa atolewe Segerea hadi Morogoro halafu mnamwambia shauri haliwezi kusikilizwa kwakuwa file limeachwa Kisutu! Huku ni kutaka kuchochea Uadui wa Kidini miongoni mwa Jamii ili hatimae muendeleze ubaguzi wenu ... Dhambi hii itawatafuna CCM soon! Pengine inaweza isifike 2015....
 
MwanaDiwani tumbo lako kubwa linaharibu akili yako.punguza kula na ufanye mazoezi.kafie mbele na umbea wako na habarileo lako.shameful propaganda!

Watu tunapenda kusikia tunayopenda kusikia hata Kama si Kweli. Ni vigumu sana katika hisia za ushabiki kukubali kusikia Yale tusyotaka kusikia hata Kama ninkweli. Ndiyo maana hata katika forum Kama hii ambayo ni "for great thinkers" Watu hawajengi hoja pindi lile wasilopenda likiandikwa Bali wanatuakanana. Ukiitika kujua Watu wengi ni washabiki na si watafika kwa mfano.... Nikija na thread "CCCM wanatetemeka wameshajua kuwa 2015 wamepoteza urais... Wanajiandaa kumwita Slaa wamwombe alinde Muungano atakapoapishwa kuwa Rais Mwakani" utaona wana UKAWA watakavyoniunga mkono. Ukisema CHADEMAni chama cha kibaguzi na kisicho na Demokrasia tena kampuni ya mtu na ukatoa mfano jinsi walivyopambana na mwanasiasa mzuri Kabisa ZITO kwa sababu tu siku moja aliota "nataka kuwa Mwenyekiti" uliwasikia Wenye kampuni... Huwezi kutoka Kigoma ukwa Mwenyekiti. Kwa sababu hili hawataki utasikia watanitukana tu. Mimi nimewasamehe kabla hamjanitukana. But I argue you to think critically...
 
Back
Top Bottom