Miundombinu ya BRT: usipoziba ufa utaujenga ukuta

f3f00f537b715880893a8f8c0eeb7c6a.jpg
 
Sisi Kwa uvivu tumeshindikana kuna nguzo moja ipo haigharimu hata elfu kumi kuinua pale kitu cha avaloni nafikiri tunasubiria wafadhiri hata kwenye kuripea tazama vituo vingi na vikubwa utakuta vinafungwa upande mmoja kitu ambacho ni hatari kutembea barabarani kufuata upande wa pili ulipo,cha msingi dart mmengetuondelea aibu hizi hakuna haja ya kuita tenda kurekebisha baadhi ya miundo mbinu.
 
BRT waliponishangaza na kuishiwa nguvu, na kujiuliza hawa contractors ni wazima au mfu, ni pale Jangwani, pale wameweka kituo cha abiria katikati ya mto wakati wa masika, jangwani ikijaa maji huwa yanapitia pale to bahari ya Hindi, sasa wameweka kituo cha abiria pale... na Magomeni wameweka na Fire wameweka..?

Kuna haja gani ya kituo cha Abiria katikati ya mto wa masika wa jangwani kuweka kituo cha abiria..? unazuia maji, na hayo maji ndio yanaenda hadi DIT yakikosa njia, na kuharibu katikati ya mji..!

Pale Jangwani hakukutakiwa kituo cha abiria kabisa.. wangeeka Fire na Magomeni tu.. Full stop..!!
 
Justification of the funds hata kama ni kuweka kituo haipaswa kuweka lile train kwakuwa mahitaji sio makubwa kihivyo
 
Hali ni mbaya sasa kuliko nilipoweka hii mada miaka miwili iliyopita
Watu wanazidi kupiga pesa but who cares the rest?
Hata kwenye mabus yenyewe mambo yamebadilika sana
. Mengi viyoyozi havifanyi kazi tena
. Mengi vipaza sauti vimeharibika
. Mengi luninga hazifanyi kazi tena ama zimezimwa muda wote
. Mengi mfumo wa camera haufanyi kazi tena
.Baadhi milango mfumo wake wa auto umeanza kusumbua
Matatizo yote haya hayafanyiwi kazi
 
Kuna vituo
. Vioo vya milango na madirisha vimepasuka lakini havijabadilishwa
. mfumo wa kutambua tiketi umeharibika
. Roovers zimegongwa ama kung'olewa
. etc
 
Nakumbuka wakati barabara ya mwendokasi ndio imekamilika kuna jamaa mmoja fundi garage alikuwa anatesti sijui hiace ile katika kuendesha akavamia nguzo za kwenye barabara ya mwendo kasi na kuvunja zote 3 ..

Tokea kipindi kile mpaka leo imepita miaka 3-4 haijarekebishwa iko vilevile 2 zimepinda mpaka chini ,moja imevunjika kabisa
 
Mpaka kufika 2020 sijui miundombinu itakuwa katika hali gani
 
Kuna vituo
. Vioo vya milango na madirisha vimepasuka lakini havijabadilishwa
. mfumo wa kutambua tiketi umeharibika
. Roovers zimegongwa ama kung'olewa
. etc
Hali ni mbaya sasa kuliko nilipoweka hii mada miaka miwili iliyopita
Watu wanazidi kupiga pesa but who cares the rest?
Hata kwenye mabus yenyewe mambo yamebadilika sana
. Mengi viyoyozi havifanyi kazi tena
. Mengi vipaza sauti vimeharibika
. Mengi luninga hazifanyi kazi tena ama zimezimwa muda wote
. Mengi mfumo wa camera haufanyi kazi tena
.Baadhi milango mfumo wake wa auto umeanza kusumbua
Matatizo yote haya hayafanyiwi kazi
Hivi Nani alisimamia ujenzi?

Na nani aliyzindua huu mradi
 
msimamizi anayeiwakilisha serikali kwenye hili ni nani? TANROADS? hawayaoni haya matatizo madogo dogo ya ukarabati?
Tunavyoendelea kulivalia macho ya mbao hili litakuja litugharimu mamilioni ya pesa

Niliwahi kumwuliza Kiongozi mmoja wa hiyo mamlaka ya barabara kuhusu kuziba nyufa kuepuka kujenga kuta, akasema kama wakiziba nyufa gharama inakuwa ni kasungura ni bora kujenga ukuta kwakuwa gharama inakuwa ng'ombe au tembo kabisa ...sikumwelewa siku ile lakini baadaye mtu mmoja akanifafanulia kuwa kasungura hakashibishi kigawana ila ng'ombe au tembo mnasaaza hata likitokea sekeseke mnawarushia masalia wanaowafuatilia na mambo yanakwisha kwakuwa nao wanapona
 
Kuna vituo
. Vioo vya milango na madirisha vimepasuka lakini havijabadilishwa
. mfumo wa kutambua tiketi umeharibika
. Roovers zimegongwa ama kung'olewa
. etc
Zile machine za kuscan tuck katika 4 zinafanya kazi 2. Jamaa yangu anakatisha ticket Msimbazi, kanambia KITUO Mali ya serikali, machine zile Mali ya max malipo! Na ndio hao kandarasi imeisha! Wakati utasema
 
BRT waliponishangaza na kuishiwa nguvu, na kujiuliza hawa contractors ni wazima au mfu, ni pale Jangwani, pale wameweka kituo cha abiria katikati ya mto wakati wa masika, jangwani ikijaa maji huwa yanapitia pale to bahari ya Hindi, sasa wameweka kituo cha abiria pale... na Magomeni wameweka na Fire wameweka..?

Kuna haja gani ya kituo cha Abiria katikati ya mto wa masika wa jangwani kuweka kituo cha abiria..? unazuia maji, na hayo maji ndio yanaenda hadi DIT yakikosa njia, na kuharibu katikati ya mji..!

Pale Jangwani hakukutakiwa kituo cha abiria kabisa.. wangeeka Fire na Magomeni tu.. Full stop..!!
Mradi huu ni mfano mzuri wa matumizi mabaya ya pesa ya umma.
Mradi umetekelezwa kwa namna ambayo haifai kabisa. Ufanisi mdogo na utadumu kwa miaka michache sana kabla haujakongoroka na kuisha kabisa.
 
Back
Top Bottom