Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 738
- 479
Serikali ya Awamu ya nane inayoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa kipindi cha miaka Mitatu imefanikisha ujenzi wa minara 42 ya mawasiliano katika maeneo mbalimbali Unguja na Pemba ambayo imegharimu 6,902,700,000.
Lengo la ujenzi wa minara hiyo ni kuimarisha mtandao wa mawasiliano Unguja na Pemba ambapo shehia 94 na Vijiji 80 zimeimarishwa na kuondolewa na changamoto ya upatikanaji wa Mawasiliano.
Lengo la ujenzi wa minara hiyo ni kuimarisha mtandao wa mawasiliano Unguja na Pemba ambapo shehia 94 na Vijiji 80 zimeimarishwa na kuondolewa na changamoto ya upatikanaji wa Mawasiliano.