Miundombinu huko india. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miundombinu huko india.

Discussion in 'Jamii Photos' started by kingfish, Apr 27, 2012.

 1. kingfish

  kingfish JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  [​IMG]
  Huu ni mtaa sehemu ya makazi ya watu mji wa mysore India mji umepangiliwa vizuri na barabara zote mtaani zina lami,swali langu ni kwamba viongozi wetu wa Tanzania walikua wapi miji yetu ipo ipo tuu.hakuna mpanglio toka tumepata uhuru mpaka sasa.
   
 2. c

  collezione JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Mysore ni mji mdogo sana. Mfano hapa bongo unaongelea tabora.

  Lakini kuna lami mpaka uchochoroni.
  JK alisema Tz nchi kubwa sana. Hatuwezi kuwa na hata nusu ya barabara zetu kwa kiwango cha lami.

  Sasa sijui Tz na india nchi gani ni kubwa. Afu jamaa wana lami mpaka uchochoroni
   
 3. MIUNDOMBINU

  MIUNDOMBINU JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  hii nchi inaitwa "bongo lala" sio bongo land.
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Pamoja na utajiri wao wooote!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 5. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #5
  Apr 27, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Misaada ya wafadhili, haijafika bado...
   
 6. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #6
  Apr 28, 2012
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Barabara zetu zinawekwa mifukoni na manyang'au, majizi na mafisadi!
   
 7. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #7
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  Labda nchi imezidi ukubwa,
  kwa waliokulia Dar miaka ya nyuma, Kinondoni, Magomeni, Temeke kote kulikuwa na lami na street lights
   
 8. T

  Teko JF-Expert Member

  #8
  Apr 28, 2012
  Joined: Jul 3, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Hadi hapo mtakapoacha kuchagua viongozi wanaotegemea misaada badala ya kuendeleza raslimali za nchi. Hadi misaada ya chandarua mnaomba halafu unazungumzia barabara?
   
Loading...