Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,352
- 7,668
hahahahaha!!! hii kiukweli ipo hata mimi binafsi nimeshashuhudia....sijui inakuwaje! wanabalansi vipi matumizi yao hapo? kweli ni miujiza tena hapo bado na kodi ya nyumba juu, analipia, etc etc....hatariiiii!!!!!!!!!! nyc lkn si ndio mihangaiko hiyo ya mjini...ukitegemea mshahara tu inakula kwako mwenzangu!!lol!!!
Mshahara wako 270,000
Handbag yako inagharimu 140,000
Unamiliki GX 110...
Hills zako 120,000
Above all,
Unatumia Note 3
Then unaenda kanisani kuomba wkt wewe mwenyewe UNATENDA MIUJIZA!
hujui tumekalia uchumi...kikubwa ujue kuutumia tu.....
Am glad ur back Amicus Curiae I missed you.......
Wakati Mungu anatoa adhabu kwa Adam na Hawa baada ya kula tunda lililokatazwa alimwambia Hawa kwamba atazaa kwa uchungu wakati Adam aliambiwa atakula kwa uchungu. So hakuna sehemu ambako Hawa aliambiwa atafute, ni mwanaume atakayemtafutia.
So ukiona dada ana vitu hivyo ujue kuna mwanaume anaifanya vizuri kazi/adhabu aliyopewa na Mungu, na ukumbuke msamaha unakuja kwa kufanya part yako ya adhabu vilivyo.
Kwani ajabu ni nini hapo?
Kodi inalipwa na Chris, Gari nanunuliwa na Eric wa TRA, nguo nanunuliwa na Ray. Mahitaji ya ndani nanunuliwa na Ally. Mshahara wangu ni kwa ajili ya familia (nautuma kwa wazazi na ndugu)
Watu wa mbinu. Mjini hapa. Lol
Ukishangaa shangaa unapelekwa machinjioni.
hahahahaha!!! hii kiukweli ipo hata mimi binafsi nimeshashuhudia....sijui inakuwaje! wanabalansi vipi matumizi yao hapo? kweli ni miujiza tena hapo bado na kodi ya nyumba juu, analipia, etc etc....hatariiiii!!!!!!!!!! nyc lkn si ndio mihangaiko hiyo ya mjini...ukitegemea mshahara tu inakula kwako mwenzangu!!lol!!!
teh teh ngoja ni park pembeni,kuna watu wanakuja watakujibu
U made my day