Sasa iweje uandike Qur'an haikusemezea chochote kuhusu muujiza juu ya Mtume?
(بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَـٰنِ ٱلرَّحِیمِleta haya sasa mtume kafanya mujiza kwa idhini ya allah?
Kwenye Qur'an kuna aya za tawheed ambazo Mungu anajitukuza yeye mwenyewe binafsi. Mathalani Surat Twaha inayozungumzia kisa cha Nabii Musa pale alipouona mti unawaka moto pasipo kuungua. Na haukua moto bali ilikuwa ni nuru. Kisha akasikia sauti ikimwambia " Innanii Anallah" kwa maana "Hakika yangu mimi ni Mungu"Hakuna maelezo ya kutosheleza kumuhusisha Mungu na wingi, Mungu sio duka , sio jumuhia ,, sio serekali sio kitu au hali yoyote ya wingi, ndo maana its better Qur'an ibaki na lugha yake ili watu wasielewe kilichopo wapewe tafsiri kila siku mpya kuondoa mkanganyiko kama hiyo ya Mungu kujiita sisi Mungu badala aseme Mimi Mungu
Takbeel pumba
Ata uweke Maelezo gani , Mungu kujiita sisi kuna walakini mkubwa sana , yani maana yake ni jopo LA miunguMungu ni Arrahmani rrahiim. Kutumia uwingi ni kujitukuza yeye.Kwenye Qur'an kuna aya za tawheed ambazo Mungu anajitukuza yeye mwenyewe binafsi. Mathalani Surat Twaha inayozungumzia kisa cha Nabii Musa pale alipouona mti unawaka moto pasipo kuungua. Na haukua moto bali ilikuwa ni nuru. Kisha akasikia sauti ikimwambia " Innanii Anallah" kwa maana "Hakika yangu mimi ni Mungu"
(فَلَمَّاۤ أَتَىٰهَا نُودِیَ یَـٰمُوسَىٰۤ إِنِّیۤ أَنَا۠ رَبُّكَ فَٱخۡلَعۡ نَعۡلَیۡكَ إِنَّكَ بِٱلۡوَادِ ٱلۡمُقَدَّسِ طُوࣰى وَأَنَا ٱخۡتَرۡتُكَ فَٱسۡتَمِعۡ لِمَا یُوحَىٰۤ إِنَّنِیۤ أَنَا ٱللَّهُ لَاۤ إِلَـٰهَ إِلَّاۤ أَنَا۠ فَٱعۡبُدۡنِی وَأَقِمِ ٱلصَّلَوٰةَ لِذِكۡرِیۤ)
[Surat Ta-Ha 11 - 14]
Na aya ikaendelea ikasema" Laa ilaha illa Anaa" kwa maana hapana mola isipokuwa mimi( maana inamrejelea mwenyewe Mungu)" aya yenyewe ni aya ya mwisho kwenye hayo maandishi ya Kiarabu kama ukihitaji kwa ushahidi zaidi.
Kuna aya nyengine limetumika neno la kiarabu "huwa هُوَ " kwa maana yeye. Hii huwa inakuja endapo wanaosomewa aya kuhusu yeye Mungu. Kwa kuwa Qur'an imeshuka kutoka kwa Mungu kupitia kwa Jibril kwenda kwa Muhammad.
Kwa kuwa Malaika Jibril naye ni messenger kutoka kwa Mungu, aya itakayoshuka haitasema Mimi Mungu. Bali itasema Yeye Mungu. Mathalani
(بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَـٰنِ ٱلرَّحِیمِ
قُلۡ هُوَ ٱللَّهُ أَحَدٌ Hapa inakuwa"sema: hakika ya yeye Mungu ni mmoja.
ٱللَّهُ ٱلصَّمَدُ لَمۡ یَلِدۡ وَلَمۡ یُولَدۡ وَلَمۡ یَكُن لَّهُۥ كُفُوًا أَحَدُۢ)
[Surat Al-Ikhlas 1 - 4]
Sijui umenielewa?
Hata aweke ushahid gani...Niwazi atakuwa anapigia mbuzi gitaa...Yan wewe kilichobaki ni ubishi tu tena wa nyuma ya keyboard....Huna hoja zaidi ya Kubaki na akili zako mgandoAta uweke Maelezo gani , Mungu kujiita sisi kuna walakini mkubwa sana , yani maana yake ni jopo LA miungu
Kauli ya "sisi" kwenye Qur'an Mungu ameitumia kwa kujipa heshima, hadhi na kujitukuza. Mungu ni mmoja na hili kwenye Quran limethibitishwa. Mathalani suratul IkhlasAta uweke Maelezo gani , Mungu kujiita sisi kuna walakini mkubwa sana , yani maana yake ni jopo LA miungu
Kuandika kwa herufi kubwa tupu ni ishara ya ungumbaru.All Caps unamaanisha Nini weka hoja bayana ukiambatanisha na ushahid itakuwa Bora zaidi sio kubwabwaja
umetoa wapi kwamba kuandika kwa herufi kubwa ni ungumbaru.....tizama hapa nimeandika kwa herufi ndogo tupu je wajua kwa nini......nimekuwa nikiandika na kuweka nukta nyingi je wajua kwa nini....njoo na majib kisha nitakujibuKuandika kwa herufi kubwa tupu ni ishara ya ungumbaru.
Quran imejaa uongo na ujinga.
Tunaambiwa kuna watu wabishi waumini hata wasijibizane nao.
Kwa sababu Allah kawaziba mioyo, macho na masikio wasimjue. Halafu Allah atawahukumu, kwa sababu hawajamjua.
Sasa hiyo Allah ana kichaa gani?
Anawaziba watu mioyo, masikio na macho wasimjue.
Kisha anawahukumu kwa sababu hawajamjua.
Na wewe unaamini ujinga huu kwamba huyu Mungu yupo na anafanya hivyo?
Kuandika kwa kuweka nukta nukta pia ni ungumbaru, kuandika kwa herufi ndogo tupu nako ni ungumbaru.umetoa wapi kwamba kuandika kwa herufi kubwa ni ungumbaru.....tizama hapa nimeandika kwa herufi ndogo tupu je wajua kwa nini......nimekuwa nikiandika na kuweka nukta nyingi je wajua kwa nini....njoo na majib kisha nitakujibu
Hawezi hata kidogo kuyajibuKuandika kwa kuweka nukta nukta pia ni ungumbaru, kuandika kwa herufi ndogo tupu nako ni ungumbaru.
Sentensi inaanza kwa herufi yakwanzakuwa kubwa. Majina yanaanza kwa herufi ya kwanza kuwakubwa.
Wewe unaleta elimu ya bungumbaru wa kuandika kwa herufi kubwa tupu au ndogo tupu.
Pia nimeongelea mapungufu ya Quran yako, hujayajibu.