Miujiza 40 ya mtume Muhammad (S.A.W)

Huyo uliyemuweka kwenye Avator yako yeye alikuwa anaikubali Quran takatifu?

Wewe bila shaka nawe ni Kafiri huwezi kumuabudu kafiri ea kwenye avator yako! Hahahaa
NAONA UMEHAMIA KWENYE AVATAR.....SIABUDU AVATAR MKUU
 
sasa huo muujiza(namba 2) kwenye list yako ina maana mtume alikuwa hajui kuwa wakichinja ngamia watakosa usafiri?, hadi mtu wa kawaida kabisa akamwambia!

mtu mwenye uwezo mkubwa namna hyo alishindwaje kujua kitu kidogo hivyo
 
Kwamba jamaa akasema chinjeni ngamia, ila mtu mwenye uwezo wa kawaida kabisa ndio akamshauri wasichinje ngamia maana watakosa usafiri!

Sasa hapo ni nani alietenda muujiza?

Anyway, naheshimu uhuru wa kuabudu. Ila mkileta mada kama hizi kwenye jukwaa kama hili muwe tayari kujadili bila kukasirishwa na maoni ya wasioamini!
 
NAAAAM WANACHEZA NA AKILI ZA WATU..MIUJIZA WALIFANYIWA WATU WABISHI WENYE MIOYO MIGUMU NA BADO MIUJIZA SIO GUARANTEE YA KUAMINI MANA MWINGINE HUSHIA KUSEMA HUU NI UCHAWI
Ni kweli mkuu mi nashangaa mtu anasema mtume fulani sio mtume kisa hajafanya miujiza au sijui jina fulani halina miujiza.
 
Mbona ule muujiza wa KUBAKA kibinti kidogo hujauweka hapa.Au kwenu ninyi si muujiza!!???
1400.sio 2000 nenda kasoma utajua kwamba alikuwa mkubwa au mdogo rejea ata history za nchi nyingine ujue angalau walikuwa wanaoa katika umri gani hii hoja yako mbona imefilisika
 
KAFIRI NI KILA ANAYEPINGA QURAN SO KAKA NA WEWE UNAPINGA QURAN BASI NA WEWE NI KAFIRI
Inamaana hati mimi ambaye katu siiamini wala sintokuja kuiamini Qurani kama ni mafundisho ya Mungu, aliyeumba mbingu na nchi ni KAFIRI
Pia ? [emoji4]
 
Chai
 
Chai
 
Ahlul sufaa Abuu Hurairah (radhii za Allah ziwe juu yake)
 
Alikunywa maziwa mpaka akatosheka kbsa maziwa yakakosa pakupita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…