Na magari mitumba pia izuiwe watu wanunue mapya tu, na spare za magari mitumba nazo zifungiwe watu wanunue mpya tu?????
Wapi hujaelewa? Swali lako lilikuwa kama hiyo mitumba inatoka nje? Nilichokueleza ni kuwa licha ya kuwa ni nguo au vifaa vya makampuni na wabunifu wa Marekani, baadhi au vingi hutengenezwa au kushonwa China na sehemu nyingine.Samahani sijakuelewa kizaidi ujumbe wako...nijuze
Kwani lazima kila kitu tufanye kama wao?!kama wao wameendelea waache waendelee na mitumba yao!Ngoja na sisi tuishi maisha yetu!Katika nchi za Northern America yaani United States of America na Canada, kuna maduka makubwa ya kuuza mitumba.
Mfano
Value Villages
Goodwill
Salvation Army
Na mengineyo.
Katika maduka haya wazungu na watu wengine ununua nguo , viatu, furniture, vyombo kama sahani, vikombe, vijiko n.k
Value village kwa mfano, supplier wao mkubwa ni kampuni iitwayo Servers ambayo upata vitu kutoka Canada au Marekani.
Viwanda vipo lakini na mitumba ipo. Mitumba siyo Nguo tu, ni pamoja na vitu kama spare za magari, magari, vitabu, mafriji, n.k.
Miaka ya nyuma, Dr. Salim Ahmed Salim alitumia uzoefu wake wa kukaa nje kuwaelimisha viongozi wenzake serikalini kipindi akiwa waziri mkuu, kwamba mitumba ipo hats nchi zilizo endelea. Ilisaidia sana.
Kwasasa sijui utumuelimisha Nani? Maana ni vurugu.
Sio kuvaa vitu vya ndani tu bali tuvae vitu vipya!yani sisi tumekuwa watu wa used kila cku!!!Mpango Ni kufungia uagizwaji/uingizwaji wa mitumba nchini sio kwa wamachinga tu ili kuinua uvaaji wa nguo na viatu vya ndani.
Ni kweli bt naomba unitajie kiwanda kinachozalisha nguo kwa sasa hapa tzMleta uzi hayo maduka yote uliyotaja yanafanya kuzungusha mtumba wa ndani yani mtu anatoa nguo yake au kiatu ambacho hana matumizi nacho tena anapeleka goodwill. Huwezi agiza mtumba Indonesia ukapeleka kuuza USA.
Serikali inataka kuinua soko la bidhaa za ndani hasa nguo na viatu kama ilivyokuwa hapo awali.
Kila nchi Lazima ilinde soko lake la ndani ili kukuza uchumi wake.
Wabongo wamekuja kulalamika kwanini wavae vipya wakati wamezoea kuvaa mtumba. Ukizoea shida unaanza kuona ndiyo haki yakoSio kuvaa vitu vya ndani tu bali tuvae vitu vipya!yani sisi tumekuwa watu wa used kila cku!!!
Viwanda vinakuja na zuio ka mitumba Bado halijawa effective ndiyo maana Bado unaona mitumba mitaani. Na hata mitumba ikikatazwa bado utaweza kuingiza as long as utalipia ushuru mkubwa utaoweka na kama mitumba itakua inafikia viwango, hivi sasa Tz ni kama dampo tunaletewa mitumba hadi kutoka MalawiNi kweli bt naomba unitajie kiwanda kinachozalisha nguo kwa sasa hapa tz
Unajua ukiwa na negativ thnkng kila kitu utakichukulia negatv!kwann sisi tuwe wamitumba kila kitu?!yanayowezekana kufanywa na sisi wenyewe tufanye jamani!Wabongo wamekuja kulalamika kwanini wavae vipya wakati wamezoea kuvaa mtumba. Ukizoea shida unaanza kuona ndiyo haki yako
Wabongo watakutoa roho wasikie unasema wafanye wao wenyewe bila kutegemea mwingine. Kama watoto yatima hawaishi malalamikoUnajua ukiwa na negativ thnkng kila kitu utakichukulia negatv!kwann sisi tuwe wamitumba kila kitu?!yanayowezekana kufanywa na sisi wenyewe tufanye jamani!
ccm wamechanganyikiwa kwa hiyo hata zile mitumba za misaada kanisani au je ni mitumba kwa wauzaji au machinga na je kama ni hivyo kwanini serikali ya CCM hisizuie uwagizaji bali wanafunga kwa watembeza barabarani.huozo huo.
swissme
Umeuliza swali la msingi sana.Tunapiga marufuku mitumba wakati hatuna hata kiwanda kimoja cha nguo.Huu ni mwanzo wa kuvaa kaniki.
hivi wewe tanzania kuna kiwanda cha nguo bwana acha kutujazia server kwa urojo wako
Siyo kweli. Nimekupa mfano wa kampuni ya Server ambayo ipo USA lakini inapeleka mitumba Canada.
Mkuu hivi unaijua TanzaniaUnajua ukiwa na negativ thnkng kila kitu utakichukulia negatv!kwann sisi tuwe wamitumba kila kitu?!yanayowezekana kufanywa na sisi wenyewe tufanye jamani!
Wapi hujaelewa? Swali lako lilikuwa kama hiyo mitumba inatoka nje? Nilichokueleza ni kuwa licha ya kuwa ni nguo au vifaa vya makampuni na wabunifu wa Marekani, baadhi au vingi hutengenezwa au kushonwa China na sehemu nyingine.
Nimekuelewa kiongozi,hata wale wa Litumbandyosi,ha ha haaa!!kumbe unaunga mkono hoja ya kuondoa mitumba ila tu wasifanye haraka mana nguo nazo zinaweza kuadimika kama sukari!!ndo wacwac wako au sio!?Mkuu hivi unaijua Tanzania
Yaani hatuzungumzii pposta. Hapa tanzani ya mpitimbi singea. Kakonko Kigoma. Newala mtwara
Pls hiyoo kitu ingeletwa baada ya uzalishaji kuanza mkuu
Kwa hiyo ndo unataka kusema nini, wewe mwenyewe mbulula tu, wamesema wanazuia au wanapandisha kodi. Na kwenye magari mtumba ni mtumba tu haijalishi umri, inawezekana kweli sijui kwamaana similiki gari la mtumba kama wewe.Inaonekana hakuna ujualo. Magari mitumba tayari yanapigwa vita toka zamani naamini humiliki gari ndiyo maana hujui. FYI ushuru wa gari used ni mkubwa na kadri gari linavyozidi kuwa la zamani ndivyo ushuru wake wake unazidi kuwa mkubwa, hii ni kutaka watu wapunguze kununua vitu chakavu.
Same applies to nguo/viatu na bidhaa zote za mitumba. utaweza kuingiza ila jua ushuru wake utakuwa mkubwa sana na kwa nguo utakuwa mkubwa zaidi sababu serikali inataka kufufua viwanda vyake kama ilivyokuwa hapo awali.
Uwe na amani ndugu yangu! ahsante kwa kunijibu vemaNdiyo, zipo...
(Samahani, iapo umemuuliza Incredible, nimejibu kwakuwa nina uhakika ni hiki nilichokiandika)