Incredible
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,031
- 1,604
ccm wamechanganyikiwa kwa hiyo hata zile mitumba za misaada kanisani au je ni mitumba kwa wauzaji au machinga na je kama ni hivyo kwanini serikali ya CCM hisizuie uwagizaji bali wanafunga kwa watembeza barabarani.huozo huo.Kwa hiyo mitumba unayoongelea inaingia nchi hizo kutoka nchi za nje au ni wananchi wanazungusha humo humo nchini kwao?
ccm wamechanganyikiwa kwa hiyo hata zile mitumba za misaada kanisani au je ni mitumba kwa wauzaji au machinga na je kama ni hivyo kwanini serikali ya CCM hisizuie uwagizaji bali wanafunga kwa watembeza barabarani.huozo huo.
swissme
Mpango Ni kufungia uagizwaji/uingizwaji wa mitumba nchini sio kwa wamachinga tu ili kuinua uvaaji wa nguo na viatu vya ndani.ccm wamechanganyikiwa kwa hiyo hata zile mitumba za misaada kanisani au je ni mitumba kwa wauzaji au machinga na je kama ni hivyo kwanini serikali ya CCM hisizuie uwagizaji bali wanafunga kwa watembeza barabarani.huozo huo.
swissme
Mpango Ni kufungia uagizwaji/uingizwaji wa mitumba nchini sio kwa wamachinga tu ili kuinua uvaaji wa nguo na viatu vya ndani.
China ni watengenezaji wa nguo/vifaa kutokana na unafuu, ila ni nguo au vifaa vyenye majina ya kampuni ya Canada/Marekani. Na zinaishia katika maduka hayo(kama mitumba) mtu anapopata vifaa vipya, wenzetu wanabadilisha vifaa/nguo katika muda mfupi kutokana na maendeleo ya teknolojia, na pia kama njia ya kusaidia wenye mahitaji hayo na ila hawamudu bei za asili.Kwa hiyo mitumba unayoongelea inaingia nchi hizo kutoka nchi za nje au ni wananchi wanazungusha humo humo nchini kwao?
Naiona sukari nyingine ikijaTunapiga marufuku mitumba wakati hatuna hata kiwanda kimoja cha nguo.Huu ni mwanzo wa kuvaa kaniki.
Na magari mitumba pia izuiwe watu wanunue mapya tu, na spare za magari mitumba nazo zifungiwe watu wanunue mpya tu?????Mpango Ni kufungia uagizwaji/uingizwaji wa mitumba nchini sio kwa wamachinga tu ili kuinua uvaaji wa nguo na viatu vya ndani.
China ni watengenezaji wa nguo/vifaa kutokana na unafuu, ila ni nguo au vifaa vyenye majina ya kampuni ya Canada/Marekani. Na zinaishia katika maduka hayo(kama mitumba) mtu anapopata vifaa vipya, wenzetu wanabadilisha vifaa/nguo katika muda mfupi kutokana na maendeleo ya teknolojia, na pia kama njia ya kusaidia wenye mahitaji hayo na ila hawamudu bei za asili.