Car4Sale 2019 Toyota Hilux ya Muhindi iko Sokoni

darautobroker

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2020
Posts
647
Reaction score
568
Bei/Price=TSH 87M
Call+255 (0) 747 999 927

TOYOTA HILUX

Year: 2019
Engine: 1GD-FTV
Mileage: 60,000+KM
Fuel Used: DIESEL

Transmission: AUTOMATIC

đź’«Fog Lights
đź’«Sport Rims
đź’«Android Radio

âś…Clean Interior
âś…Well-Maintained
âś…Swap Deals Available
 
Attachments

  • IMG-20260905-WA0038.jpg
    IMG-20260905-WA0038.jpg
    85.9 KB · Views: 8
  • IMG-20260905-WA0037.jpg
    IMG-20260905-WA0037.jpg
    69.4 KB · Views: 6
  • IMG-20260905-WA0036.jpg
    IMG-20260905-WA0036.jpg
    136 KB · Views: 6
  • IMG-20260905-WA0041.jpg
    IMG-20260905-WA0041.jpg
    121 KB · Views: 6
  • IMG-20260905-WA0035.jpg
    IMG-20260905-WA0035.jpg
    74.5 KB · Views: 5
Oya mnapata hela wapi wanetu
 
Changamoto ya kununua gari kwa Muhindi au Muarabu au Singa Singa ni Kwamba hilo gari unalonunua ipo siku litageuka kuwa Jeneza la kukuua kupitia ajari mbaya kama ya yule Sheikh kule Kondoa Dodoma.

Magari mengine unanunua kumbe ni makafara ya damu yanahitajika...unatolewa kafara na hela pia umempa.

Bora uagize zako Japan tu kule hakuna Shiriki, ila haya Magari ya wabongo ukinunua au Kuazima yale Yale ya Sharo Milionea unakwepa mtu Barabarani ukiwa mwendo Kasi kumbe ndiyo unaenda kujiua kwa ajari
 
Mimi Nimenunua Sana Magari Ya Wahindi Na Waarabu Na Nimetembelea Nayo Zaidi Ya Kipindi Cha Mwaka Mmoja Ila Hakuna Kitu Kama Hicho Unachosema Kikubwa Ni Kuomba Ulinzi Wa Mwenyezi Mungu
 
Changamoto ya kununua gari kwa Muhindi au Muarabu au Singa Singa ni Kwamba hilo gari unalonunua ipo siku litageuka kuwa Jeneza la kukuua kupitia ajari mbaya kama ya yule Sheikh kule Kondoa Dodoma.

Magari mengine unanunua kumbe ni makafara ya damu yanahitajika...unatolewa kafara na hela pia umempa.

Bora uagize zako Japan tu kule hakuna Shiriki, ila haya Magari ya wabongo ukinunua au Kuazima yale Yale ya Sharo Milionea unakwepa mtu Barabarani ukiwa mwendo Kasi kumbe ndiyo unaenda kujiua kwa ajari
Huyu apuuzwe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom