jamiiyamtimkavu
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 274
- 192
Wadau habari, Naomba kujuzwa kati ya gari hizi mbili ipi itanifaa kwa matumizi yangu ya kwaida. Kwenda shambani ( nyia sio nzuri sana) na kwenda kazini. Hasa vigezo, upatikanaji wa spare, kiufundi, mengineyo mtakayoona yatanifaa. Kama gari yenye mwonekano
sawa na hizi ila iliyobora zaidi. Ushauri wenu ni wa muhimu sana
sawa na hizi ila iliyobora zaidi. Ushauri wenu ni wa muhimu sana