Mitsubish GDI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mitsubish GDI

Discussion in 'Matangazo madogo' started by vivian, Nov 30, 2010.

 1. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #1
  Nov 30, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Wakuu. hebu nisaidieni. nina Mitsubish GDI nimenunua kama mwezi mmoja uliyopita.
  I ordered the car from Japan Direct. Sijanunua lilochakachuliwa hapa Bongo!
  shida yangu ni kwamba sometemes hii gari inanizimia nikiwa katikati ya bara bara.
  nimeshahangaika kwa mafundi nimechoka. jamani naweza malizaje hili tatizo.
  hopeful hapa kuna m2 ameshawahi kuitumia and incured such a problem!!!
   
 2. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #2
  Nov 30, 2010
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Piga simu kwa fundi mmoja anaitwa Lyaruu, namba yake ni 0715439735. Kuna rafiki yangu naye pajero yake (GDI) ilikuwa inazimika zimika hivyo hivyo lakini baada ya kumuona huyu bwana aliweza kui-fix vizuri sana na haijawahi kumsumbua tena. Naambia tatizo kubwa ni petrol filter na plug. Magari hayo hayatakiwi kuweka petrol iliyochakachuliwa. Nitamjulisha kuwa kuna mtu atamtafuta.
   
 3. Kite Munganga

  Kite Munganga JF-Expert Member

  #3
  Nov 30, 2010
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,298
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Sina ujuzi sana na gari hizo lakini kuna jamaa yangu alipatwa na kifafa cha aina hiyo kwenye gari yake na alihangaika sana lakini mwishoe akapata fundi simkumbuki vizuri ila alikuwa UDSM na alimwambia akanunue kadubwashana fulani kadogo tu amabako alisema kameharibika (kama ka Computer fulani hivi) na alikapatia Nairobi na baada ya hapo sikumsikia akilalamika na aliiuza kuogopa kifafa kingine
   
 4. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #4
  Nov 30, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Thanks
  I will try this out.
   
 5. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #5
  Nov 30, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  Hilo Gari Tatizo lake kubwa ni Plug, na linataka Plug original sio za pale Msimbazi ama Karume, tatizo lingine ambalo ni mambo ya umeme, hilo gari ni umeme mtupu, na TAtizo la Tanzania mafundi wengi ni wa kubahatisha tu, ukilipeleka sana kwa mafundi uchwara, huwa wanabadilisha system ya umeme na ndio tatizo linazidi kuwa kubwa, Ukipata fundi mzuri hiyo gari utasahau, Mitsubishi ni gari ngumu, imara na inatumia vifaa genuine tu,
  Pia angalia ni mafuta gani linatumia, kama ni UNLEADED tafadhali usichanganye mafuta, kama nilivyosema hilo gari ni la umeme na lina sensor nyingi mno, yaani kitu kisichotakiwa kwenye hilo gari kikiingia hilo gari linasense na halifanyi kazi

  mambo ya muhimu ni matatu
  1) Plug original
  2) MAfuta yanayopaswa kuwekwa (unleaded)
  3) Tafuta fundi mzuri anayejua mambo ya Umeme ya modern vehicles (sensor, Computer box)
   
 6. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #6
  Nov 30, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  my dia mm sijui tatizo ni nn lkn I had the same car na nilikuwa nauza hapa hapa JF,thank God nilipata mteja,magari siku hizi vimeo tu no mata ununue frm wea.Pole
   
 7. Mtu Mzima

  Mtu Mzima JF-Expert Member

  #7
  Nov 30, 2010
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Pole,
  Go to your mechanic and tell him/her to check if the iddling speed is between 600 and 900 RPM.

  If not, tell the mechanic to adjust the iddling speed to the above range,do not go beyond 1000rpm, the car will consume a lot of fuel and it will be noisy. The speed can adjusted below the steering wheel.

  If it does not work, tell the mechanic to do adjust the Iddling Air Control Valve ( IACV), as follows:

  1-Start the engine with no load and hold the engine at 3000 rpm for some time, then let it idle. the idle for some time.

  2- Turn off the engine and removed the intake duct from the throttle body (Horse pipe)

  3-Start the engine and let it idle for some time

  4-Place the fingers in the hole of throttle body, to see if the engine engine will stalled out (itazima). If that happen The mechanic should do the following:

  1: Bridge the 2 pin blue plug behind glove box (the diagnostic plug)run engine to as closes as possile to 500 rpm on idle (no load) by adjusting the butterfly.

  2: Turn off engine and un plug idle control valve

  3: With ingnition off remove the 7.5 amp back up fuse for ten seconds

  4: Plug idle control valve back in

  5: Repace 7.5 amp back up fuse

  6: The idle control valve is now reset

  Put back everything and start the engine ready to go.
  Goodluck
   
 8. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #8
  Nov 30, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Nice staff! anyone can be a fundi then
   
 9. Mtu Mzima

  Mtu Mzima JF-Expert Member

  #9
  Nov 30, 2010
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mafundi wengi wasio na ujuzi hukimbilia kuangalia computer (Control box). Nakuhakikishia kabla hujafanya chochote angalia iddling speed (mafundi wengi wanaita sailensa) kama ipo chini ya 600 au arround that inaweza kuwa ndo tatizo. Washa gari, ikiwa kwenye sailensa angalia revolution per minute (RPM) kwenye dash board yako utaona kama ipo kwenye 700-900 its ok.

  kama umebadilisha plug recently angalia kama ulitumia genuine.

  Kama uliweka mafuta kwenye kituo kisichoaminika badilisha haraka kwa kumwaga mafuta yote.
  Iwapo mafuta ni tatizo utapata hasara kubwa zaidi sababu spea za Mitsubish ni ghali sana lakini utasahau fundi makanika kwa muda mrefu pia
   
 10. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #10
  Nov 30, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  were you getting the same problems!! I have been driving Rav4 but never seen this!!
   
 11. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #11
  Nov 30, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  mitsubishi naona karibia zote ziko complicated sana.......nina rafiki yangu ana GDI mpaka anatia huruma.....mi I shauri you....sale it then you go kwenye Toyota......utapeta sana
   
 12. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #12
  Sep 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Speed is Enjoyable.

  Fuel consuption- 12kms/Litre

  What a nice car
   
 13. ARV

  ARV JF-Expert Member

  #13
  Sep 28, 2011
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,317
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Jitahidi utafute Toyota.
   
 14. J

  J 20A Senior Member

  #14
  Sep 28, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 105
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waone dass and hans wako mabibo mwisho jirani na kkt wanao mtambo wa kukupimia gari yako na watakwambia nini kibovu kwa mawasiliano zaidi wapigie 0715 974434
   
 15. m

  muvimba Member

  #15
  Sep 28, 2011
  Joined: Apr 20, 2008
  Messages: 76
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  No thank you sir GDI ni gari nzuli sana very powerfull, strong, binafsi nimetumia GDI leo mwaka wa 3 sasa kwa tatizo kama hilo is better to check all plug na weka genuine, kwa ujumla ni gari isiyopenda mkato ukiweka local plug haiwaki, pili fanya fuel tank genral cleanness akikisha mafuta unayoweka yako safi na tank lako ni safi hivyo itakubidi kusafisha, mbali na hayo toa hiyo air cleaner safisha na kama imechoka weka mpya, jitahidi sana kwenye air inlet kuko intact kama kutakuwa na uwazi ni kosa kubwa daima hata kama utafanya service gani itazima tu kumbuka kuwa ile ni direct injection hivyo ratio ya hewa na mafuta lazima viwe sawia, kwa service basic hapo utakuwa umemaliza is a good an strong car mtu asikulaghai, mbali na hayo kufuatana na quality ya oil hapa kwentu jitahidi sana kufanya service ktk km 2800 - 3000 inatosha sana na possibly ifanyie engine flush out machian itaweza kutulia sana,
   
 16. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #16
  Sep 28, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,923
  Likes Received: 631
  Trophy Points: 280
  Hii Engine Flush out machian ndo kitu gani tena Mkuu.
   
 17. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #17
  Sep 28, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,108
  Likes Received: 7,366
  Trophy Points: 280
  Dah,
  Nami yangu ni GDI, na hua inatokea tatizo hilohilo, but mara mojamoja sana!!
  Mara ya kwanza linaanza ilikua kuna mvua, jamaa nliempa lift akaniambia eti maji yameingia kwenye nini sijui!
  Mara ya pili nikahisi mafuta machafu!!
   
 18. j

  john gharish Member

  #18
  Feb 2, 2014
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Please dont worry ,gdi is very nice but more of mechanic/technician are not aware of that.i worked at tabata relini ,and i have scanning tool for diagnosis.mobile number 0755399613,0715399613.best regards.gharish john.
   
Loading...