Mitoto hii bwana.

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Baada ya kutoka chumba cha mtihani,wanafunzi walikamatana na kudundana mingumi ya kutosha.Mwalimu alipowakuta na kuwauliza kwanini wanapigana,mmoja wao akajibu;"mwalimu,mimi mtihani wa hesabu sijajibu kitu,nimeandika jina tu,sasa huyu b.w.e.g.e nazi naye kaniiga,hajajaza kitu,ameandika jina tu,sasa si itaonekana mmoja wetu amekopi kwa mwenzie halafu tutafutiwa matokeo wote!
 
kama akili yenyewe ndo hii, walikuwa na haki ya kupigana tena sana tu
 
Watoto mliozaliwa wakati Jakaya yupo madarakani mna shida nyie yaani kila ki2 mnajifanya mnajua.
 
Yawezekana ni wadogo zako. Kwani mimi watoto zangu wapo fiti.
 
hii mitoto mijinga kwel hapa hakuna mtuu hapa
 
Kabla ya kuwapa adhabu ningewapeleka wakapimwe akili kwanza.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…