Mitongozano.com: Ni matukio gani hutoyasahau?

Mitongozano.com: Ni matukio gani hutoyasahau?

Mm nakumbuka katk maisha yangu ctasahau kabisa kipindi nasoma o'level marangari boys kunamtoto wa doctor 1 nilimtongoza kipindi hcho nakumbuka tulipata ajari tunatoka kucheza mpira ss basi ndio nimepata nafuu tuko shule hyo shule yao ikaomba mechi wakaja huyo msichana nilivyomuona nilimpenda ijapokuwa nilikuwa na majeraa ikabidi nishuke mistari kwel dogo hakanielewa tukaanza mahusiano hvyo dogo alikuwa bikra nikatengua kitu ss dogo penzi likanoga kwao hapakaliki mm na yy tunakutana getto kwa mshikaji 1 hv mwanakijiji alikuwa maepanga ss alikuwa mchizi wetu ss dogo alikuwa ananiibia sukari sabuni wakipika kwao maandazi mikate nilikuwa nafaidi cn ss mama yake akajuwa ww kilinuka mpaka kaka zake walikuja kutoka dar walinisaka nakumbuka siku hyo sikulala shule ilibidi nikalale mtaani nilitaguta kila kona yaani ilikuwa kidogo niache shule kipindi hcho nikiwa 4m3 2006 hyo yy akiwa 4m2
Hahahahah una hatari wewe ulienda kulala kingege mambo ya malangali e bwana kumbe umesoma mgl
 
me nakumbuka kuna mtoto wa jiran nilikua namuelewa kumfata naona soo sasa nikaandika bonge barua nikanunua na kadi ya I LOVE U(kipindi cha kadi ilikua si mchezo) nikampa bhasi nimetoka misele nafika home maza akanambia kuna mzigo wako umeletewa na mama naniii(mama wa dem) kufika nikakuta ile kadi aisee nilijifungua hata menyu sikula
Hahahaaaaa.......daah wanaume tunapitiaga kwenye misukosuko kweli
 
Mm nakumbuka katk maisha yangu ctasahau kabisa kipindi nasoma o'level marangari boys kunamtoto wa doctor 1 nilimtongoza kipindi hcho nakumbuka tulipata ajari tunatoka kucheza mpira ss basi ndio nimepata nafuu tuko shule hyo shule yao ikaomba mechi wakaja huyo msichana nilivyomuona nilimpenda ijapokuwa nilikuwa na majeraa ikabidi nishuke mistari kwel dogo hakanielewa tukaanza mahusiano hvyo dogo alikuwa bikra nikatengua kitu ss dogo penzi likanoga kwao hapakaliki mm na yy tunakutana getto kwa mshikaji 1 hv mwanakijiji alikuwa maepanga ss alikuwa mchizi wetu ss dogo alikuwa ananiibia sukari sabuni wakipika kwao maandazi mikate nilikuwa nafaidi cn ss mama yake akajuwa ww kilinuka mpaka kaka zake walikuja kutoka dar walinisaka nakumbuka siku hyo sikulala shule ilibidi nikalale mtaani nilitaguta kila kona yaani ilikuwa kidogo niache shule kipindi hcho nikiwa 4m3 2006 hyo yy akiwa 4m2
Ebwanaee.......pole sana mkuu ila ndio uanaume uo ambae hakupitia mambo haya basi huyo ujue si mwanaume kamili
 
Mi nakumbuka wakati nipo kidato cha tano kuna she wa kota alinielewa alikuwa na 4m 4 yeye . tulikuwa tupiga out door kwa sana. siku moja home kwao wazazi wake walikuwa kazin akaniambia nitimbe nikapige papuch kipindi kile nina njaa kinoma na haya mambo.

Wakati tunafanya yetu mara tukasikia hodi aisee kumbe baba yake karudi kwa zarula aisee nilifichwa uvunguni kama lisaa hivi mpaka mzee alipotoka nje nikatolewa mlango wa nyuma.
Mkuu ungedakwa Fatheli angekunanilii na wewe km ulivyomnanilii mwanae wazee wanakuaga na uchungu sana na mabint zao
 
Yaani mimi mama alikua over protective... Vijana wanajifikiria mara tatu tatu kuja kunitafuta nyumbani... Kuna siku nimetoka buchani mkaka mtanashati tu akanisimamisha... Nikamwambia nina haraka aje anitafute nyumbani... Sijui hakuwai sikia matimbwili ya mama Paprika...
Ile anagonga hodi getini, mama ndo akaenda kufungua, mimi nikawa nachungulia kwa mbali... Kaka akamuuliza mama eti ku a dada nilikutana nae asubuhi akaniambia anakaa hapa!!! Mama akamwambia subiri, akafunga geti akaja kwangu akanivuta baluzi mpaka ndani... Akanipiga mkwara wa nguvu... Eti ukitoka nje utatafuta mama ako..
Mkaka sijui alisubiri kwa mda gani!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaaaa maskini daah inatia huruma sana sasa tangu apo hamkuonana Paprika
 
Ila mapenzi hayaa!!! Mimi nilikuaga nampikia boyfriend hadi chapati... Naiba soksi za baba nampelekea... Kuna kipindi alikua na shida ya hela nikaiba nyumbani... Enzi hizo wazee walikua wanaweka hela nyingi ndani... Hawakujua kama zimepunguzwa... Yaani mzee anatoka safari za nje ananiletea zawadi na mie moja kwa moja nampelekea baby!!! Yaani enzi zile ningekua nafanya kazi nadhani ningemkabidhi mshahara wangu wotee...
Yaani najuta kufanya yote hayo kwa fa.la yule aisee!!! Sijui utoto au ndo love is blind!!!
Duuh hii ndio raha ya jf kuna matukio mengi sana ila Papri utakua unayajua mapenzi sana hiyo tabia itakua unayo mpaka leo
 
Paprika na ww umepitia mengi cn, kikwel kutimba kwao manziii kwenda kugonga machine nimetimba cn tena Nyumba zenyengome za hatari nakumbuka kipindi cha 4m2 marangari mpaka namaliza 4m6 pugu kipindi cha likizo nitongoze manzii aniambie njoo home yaan ndio kama kampiga chura teke kwa kumuongezea hatua.
Nakumbuka ckumoja mama wa manzii wangu 1 taa ilialibika manzii akamwambia aniite ili niwalekebishie taa ya chumbani kwa manzii mama yake hakatuache ww ckuchelewe kubusti machine
Duuh huyo mama alikuzarau kweli yaan Fisi kamuachia Bucha alijua Kibogoyo nini, ila shoo za home kwa manzi mi nilikua nina hofu kweli nikipiga kimoja tu naaga
 
Kweli kabisa... Nikikumbuka kuhusu mahusiani ni story za huyu kaka tu ndo zipo akilini... Tulipitia mengi saana... Yaani saana! Baada yake sijawa na relatiinship ya maana tena.
Kuna possibility kubwa ya jamaa kupewa mzigo siku akiomba hata km utakua umeolewa wanaake nyinyi sijui kwa nini huwa mnawakumbuka sana washkaji zenu wa utotoni hii inatokea sana sio wewe tu.
 
Usimuite fala ukiona bado unamkumbuka jua kuna kitu kizuri pia amewahi kukufanyia mpaka unaiba soksi za mdingi sio mchezo just imagine
Itakua ndio aliemtoa Damu Paprika huyu nina uakika siku akiomba tena atapewa Mi ndio maana nikija kuoa natafuta Dem bikra kuepuka mambo km haya unakuta una mwanamke feeling zake zote zipo kwa jamaa zake wa kitambo
 
Kuna possibility kubwa ya jamaa kupewa mzigo siku akiomba hata km utakua umeolewa wanaake nyinyi sijui kwa nini huwa mnawakumbuka sana washkaji zenu wa utotoni hii inatokea sana sio wewe tu.
Ushasema wanawake ila kwa upande wangu nikisha achana na mtu ndo nimeachana nae... Huyo kaka kanifukuzia sana ata mwaka jana alinitafuta ila ata kuona sura yangu hajafanikiwa. Alinionesha dharau ya hali ya juu na mimi kumkubalia ata kuiona sura yangu itakua ni ubwege...
 
Ungemsikilizaga tu ujue yapi yaliyomkuta si unajua Tanga usikute alilishwa limbwata na sasa yupo kwenye mateso ya kuishi na mwanamke asiyempenda
 
Daaaah Hizi Mingle za Madem znankumbusha mbal sana. Mwaka 2008 nkiwa Form 4 pale Azania, Nlikua na jamaa yng nnasoma naye pia hata majina ya mwanzo yana fafana na mimi. Huyu jamaa kwa sasa n Marehemu (RIP Brother).
Huyu jamaa alikua anakaa mbezi Beach pale mtaan kwao kulikua na Demu mmoja mkali sana. So jamaa alikua anafukuzia Huo mzigo kwa muda . Hatimaye alifanikiwa kula Tunda na wakawa Wapenz kwa muda kadhaa. Lakn Baada ya Muda wa miez kama 6, Hile familia ya mwanamke/Demu kutokana na Hali ya Uchumi kuyumba ikabidi wauze nyumba yao mbezi na kuamia kwenye Nyumba yao Nyingime Mbagala. Lakn Mapenz yao na jamaa yangu yaliendelea kama kawaida.
Kuna cku Jamaa alituaga anakwenda kuonana na mpenz wake Hko mbagala, So jamaa aliondoka na Marafk wetu wawili kwenda Hko kwao na Demu wake. Baada ya kufka Huko mabagala nyumbani kwa yule Demu, Getini walikutana na Caretaker/Watchman/Onerungu wa familia hyo. Baada ya kufka pale yule Caretaker aliwauliza wao n wakina nan na watataka nn.....?
Basi wale ndugu zetu walileta ubabe na kuanza Kumjibu yule Caretaker wa hyo familia Vibaya c unajua tena Ujana na maji ya moto pia kuwa mwili nyumba/Body Builder n tabu sana. Basi yule mlinzi aliwafukuza kwa mawe na kuanza kuwaitia kwamba n wezi. Na Wananchi wenye Hasira kwa kali wakuja na kuanza kuwakimbiza wale mwanafunzi wenzangu.
Bahati mbaya yule alifuata Demu wake alijikwaa nakudondoka chini. Ghafla Bini vuuu wale wananchi warifka na kuanza kumpiga mwanafunzi nwenzetu bila ya kujua kisa halisi cha wao kuitiwa wezi. Walimpiga sana na hatimae walimuua kifo kibaya sana. Kifo cha Maumivu makal sana. Ni miaka 9 sasa imepita toka jamaa atangulie mbele za Haki.
 
pia kuna siku kipindi nikiwa mgeni ktk malove nilikutana na mtt wa kipare mjini moro mkali kichiz nikafanikiwa kumtia nyavuni.

Aisee kwenda Ccm kirumba mtoto kachojoa dah msafi hana hata doa papuch safi kama wale wa kwenye move.

Aise nilichanganikiwa nikajiona kama nipo kwenye tv. Baada ya michezo ya hapa na pale nilipomuingiza tu Babu seya kichwa pale pale wazungu wakatoka nje aisee. Alinipa hofu nilikuwa siamini kama tz kuna watu kama wa kwenye zile move nilikosa confidence kabisa akawa ananituliza.
 
Daaaah Hizi Mingle za Madem znankumbusha mbal sana. Mwaka 2008 nkiwa Form 4 pale Azania, Nlikua na jamaa yng nnasoma naye pia hata majina ya mwanzo yana fafana na mimi. Huyu jamaa kwa sasa n Marehemu (RIP Brother).
Huyu jamaa alikua anakaa mbezi Beach pale mtaan kwao kulikua na Demu mmoja mkali sana. So jamaa alikua anafukuzia Huo mzigo kwa muda . Hatimaye alifanikiwa kula Tunda na wakawa Wapenz kwa muda kadhaa. Lakn Baada ya Muda wa miez kama 6, Hile familia ya mwanamke/Demu kutokana na Hali ya Uchumi kuyumba ikabidi wauze nyumba yao mbezi na kuamia kwenye Nyumba yao Nyingime Mbagala. Lakn Mapenz yao na jamaa yangu yaliendelea kama kawaida.
Kuna cku Jamaa alituaga anakwenda kuonana na mpenz wake Hko mbagala, So jamaa aliondoka na Marafk wetu wawili kwenda Hko kwao na Demu wake. Baada ya kufka Huko mabagala nyumbani kwa yule Demu, Getini walikutana na Caretaker/Watchman/Onerungu wa familia hyo. Baada ya kufka pale yule Caretaker aliwauliza wao n wakina nan na watataka nn.....?
Basi wale ndugu zetu walileta ubabe na kuanza Kumjibu yule Caretaker wa hyo familia Vibaya c unajua tena Ujana na maji ya moto pia kuwa mwili nyumba/Body Builder n tabu sana. Basi yule mlinzi aliwafukuza kwa mawe na kuanza kuwaitia kwamba n wezi. Na Wananchi wenye Hasira kwa kali wakuja na kuanza kuwakimbiza wale mwanafunzi wenzangu.
Bahati mbaya yule alifuata Demu wake alijikwaa nakudondoka chini. Ghafla Bini vuuu wale wananchi warifka na kuanza kumpiga mwanafunzi nwenzetu bila ya kujua kisa halisi cha wao kuitiwa wezi. Walimpiga sana na hatimae walimuua kifo kibaya sana. Kifo cha Maumivu makal sana. Ni miaka 9 sasa imepita toka jamaa atangulie mbele za Haki.
Daah hii ishu naijua very well mkuu wazee wa Kitengo mawe pale Aza Boy akina Simba km unampata RIP KIJANA MWENZETU DAAH UMENIKUMBUSHA MBALI SANA presider hadi chozi linataka kuja......Daah mapenzi haya kipindi cha foolish age yanacost mno
 
Back
Top Bottom