Mitongozano.com: Ni matukio gani hutoyasahau?

Ila mapenzi hayaa!!! Mimi nilikuaga nampikia boyfriend hadi chapati... Naiba soksi za baba nampelekea... Kuna kipindi alikua na shida ya hela nikaiba nyumbani... Enzi hizo wazee walikua wanaweka hela nyingi ndani... Hawakujua kama zimepunguzwa... Yaani mzee anatoka safari za nje ananiletea zawadi na mie moja kwa moja nampelekea baby!!! Yaani enzi zile ningekua nafanya kazi nadhani ningemkabidhi mshahara wangu wotee...
Yaani najuta kufanya yote hayo kwa fa.la yule aisee!!! Sijui utoto au ndo love is blind!!!
[emoji28] [emoji28] [emoji28] et kwa fala yule
 
Paprika na ww umepitia mengi cn, kikwel kutimba kwao manziii kwenda kugonga machine nimetimba cn tena Nyumba zenyengome za hatari nakumbuka kipindi cha 4m2 marangari mpaka namaliza 4m6 pugu kipindi cha likizo nitongoze manzii aniambie njoo home yaan ndio kama kampiga chura teke kwa kumuongezea hatua.
Nakumbuka ckumoja mama wa manzii wangu 1 taa ilialibika manzii akamwambia aniite ili niwalekebishie taa ya chumbani kwa manzii mama yake hakatuache ww ckuchelewe kubusti machine
 
Usingefanya leo usingekua na kumbukumbu....sometimes tunapitia vitu ili kujifunza aisee...those memories sometimes will make us to laugh at ourselves for the happy foolish things we have done in the past
 
Paprika na ww umepitia mengi cn, kikwel kutimba kwao manziii kwenda kugonga machine nimetimba cn tena Nyumba zenyengome za hatari nakumbuka kipindi cha 4m2 marangari mpaka namaliza 4m6 pugu kipindi cha likizo nitongoze manzii aniambie njoo home yaan ndio kama kampiga chura teke kwa kumuongezea hatua.
Nakumbuka ckumoja mama wa manzii wangu 1 taa ilialibika manzii akamwambia aniite ili niwalekebishie taa ya chumbani kwa manzii mama yake hakatuache ww ckuchelewe kubusti machine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani mimi nilikuaga chizi kwa yule kaka, mengine hadi aibu kuweka JF... nsije pata mume huku nikajutia comments kama hizi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kweli kabisa... Nikikumbuka kuhusu mahusiani ni story za huyu kaka tu ndo zipo akilini... Tulipitia mengi saana... Yaani saana! Baada yake sijawa na relatiinship ya maana tena.
 
Kwan

Kwani haiwezekani mkarudiana
 
Ila mapenzi hayaa!!! Mimi nilikuaga nampikia boyfriend hadi chapati... Naiba soksi za baba nampelekea... Kuna kipindi alikua na shida ya hela nikaiba nyumbani... Enzi hizo wazee walikua wanaweka hela nyingi ndani... Hawakujua kama zimepunguzwa... Yaani mzee anatoka safari za nje ananiletea zawadi na mie moja kwa moja nampelekea baby!!! Yaani enzi zile ningekua nafanya kazi nadhani ningemkabidhi mshahara wangu wotee...
Yaani najuta kufanya yote hayo kwa fa.la yule aisee!!! Sijui utoto au ndo love is blind!!!
Usimuite fala ukiona bado unamkumbuka jua kuna kitu kizuri pia amewahi kukufanyia mpaka unaiba soksi za mdingi sio mchezo just imagine
 
Amefanya vitu vizuri ndio ila hilo jina linamfaa kwa unyama alionitendea mwishoni!!! Yaani mpaka kesho simuamini mwanaume mwenye rafiki wa karibu wakike... [emoji26][emoji26]
 
Basi pole ila love is crazy especially Yale ya kitoto
 
Ila mapenzi hayaa!!! Mimi nilikuaga nampikia boyfriend hadi chapati... Naiba soksi za baba nampelekea... Kuna kipindi alikua na shida ya hela nikaiba nyumbani... Enzi hizo wazee walikua wanaweka hela nyingi ndani... Hawakujua kama zimepunguzwa... Yaani mzee anatoka safari za nje ananiletea zawadi na mie moja kwa moja nampelekea baby!!! Yaani enzi zile ningekua nafanya kazi nadhani ningemkabidhi mshahara wangu wotee...
Yaani najuta kufanya yote hayo kwa fa.la yule aisee!!! Sijui utoto au ndo love is blind!!!
Mambo ?
 
Back
Top Bottom