Mitongozano.com: Ni matukio gani hutoyasahau?

Mitongozano.com: Ni matukio gani hutoyasahau?

Duuh pole sana mkuu mbona sasa hutaki kutupa full mkanda tuone ilikuaje kuaje?
ni story ndevu ila kwa ufupi nilikua nampenda mdada mmoja iv kwao maisha ya kishua alafu ni dent daah..!! C mshua ake akanibamba live nikiwa na mwanae getin kwao acha aniitie raia waje kunixhika kipondo kwa sana mpk central ila na shukuru Mungu wazazi walimalizana kiutu uzima na mm bado niko na mtoto wao sikomi...
 
Jirani angu mmoja mkali sana, kasumba yake alikuwa anapenda lol pop kinyama, c ilikwa inabidi nisirudishe chenji nikitumwa au niibe ela home ili nitimize mahitaji yake
 
Daah hii ishu naijua very well mkuu wazee wa Kitengo mawe pale Aza Boy akina Simba km unampata RIP KIJANA MWENZETU DAAH UMENIKUMBUSHA MBALI SANA presider hadi chozi linataka kuja......Daah mapenzi haya kipindi cha foolish age yanacost mno
Zaman sana kk
 
me nakumbuka kuna mtoto wa jiran nilikua namuelewa kumfata naona soo sasa nikaandika bonge barua nikanunua na kadi ya I LOVE U(kipindi cha kadi ilikua si mchezo) nikampa bhasi nimetoka misele nafika home maza akanambia kuna mzigo wako umeletewa na mama naniii(mama wa dem) kufika nikakuta ile kadi aisee nilijifungua hata menyu sikula
Dah Pole xana ulijifungua mtoto gan
 
hahahahahahah lol! We kweli ukipenda unapenda 110% dah! Nimecheka sana hii ya kuiba soksi za dingi hahahahahah

Ila mapenzi hayaa!!! Mimi nilikuaga nampikia boyfriend hadi chapati... Naiba soksi za baba nampelekea... Kuna kipindi alikua na shida ya hela nikaiba nyumbani... Enzi hizo wazee walikua wanaweka hela nyingi ndani... Hawakujua kama zimepunguzwa... Yaani mzee anatoka safari za nje ananiletea zawadi na mie moja kwa moja nampelekea baby!!! Yaani enzi zile ningekua nafanya kazi nadhani ningemkabidhi mshahara wangu wotee...
Yaani najuta kufanya yote hayo kwa fa.la yule aisee!!! Sijui utoto au ndo love is blind!!!
 
hahahahahahah lol! We kweli ukipenda unapenda 110% dah! Nimecheka sana hii ya kuiba soksi za dingi hahahahahah
Yaani nikipenda nakua kama lofa aisee!!! Yaani wanaume hua wanaregreat wakinikorofisha na kusababisha kuachana!
 
Mi nakumbuka wakati nipo kidato cha tano kuna she wa kota alinielewa alikuwa na 4m 4 yeye . tulikuwa tupiga out door kwa sana. siku moja home kwao wazazi wake walikuwa kazin akaniambia nitimbe nikapige papuch kipindi kile nina njaa kinoma na haya mambo.

Wakati tunafanya yetu mara tukasikia hodi aisee kumbe baba yake karudi kwa zarula aisee nilifichwa uvunguni kama lisaa hivi mpaka mzee alipotoka nje nikatolewa mlango wa nyuma.
Wanawake inaonekana wana uwezo wa kufanya biashara za magendo, kwenye jukwaa hili jamaa wengi sana wamefichwa na wanawake kuepusha mafumanizi, still wanawake wana uwezo mkubwa sana wa kutatua changamoto
 
Wengine si watu wa hivyo kwani huku kwetu cc familia zwa wafugaji tunajimeagea mizigo vichakani kiulaini bila buguza yoyote poleni huko mjini
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mi nakumbuka wakati nipo kidato cha tano kuna she wa kota alinielewa alikuwa na 4m 4 yeye . tulikuwa tupiga out door kwa sana. siku moja home kwao wazazi wake walikuwa kazin akaniambia nitimbe nikapige papuch kipindi kile nina njaa kinoma na haya mambo.

Wakati tunafanya yetu mara tukasikia hodi aisee kumbe baba yake karudi kwa zarula aisee nilifichwa uvunguni kama lisaa hivi mpaka mzee alipotoka nje nikatolewa mlango wa nyuma.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani mimi mama alikua over protective... Vijana wanajifikiria mara tatu tatu kuja kunitafuta nyumbani... Kuna siku nimetoka buchani mkaka mtanashati tu akanisimamisha... Nikamwambia nina haraka aje anitafute nyumbani... Sijui hakuwai sikia matimbwili ya mama Paprika...
Ile anagonga hodi getini, mama ndo akaenda kufungua, mimi nikawa nachungulia kwa mbali... Kaka akamuuliza mama eti ku a dada nilikutana nae asubuhi akaniambia anakaa hapa!!! Mama akamwambia subiri, akafunga geti akaja kwangu akanivuta baluzi mpaka ndani... Akanipiga mkwara wa nguvu... Eti ukitoka nje utatafuta mama ako..
Mkaka sijui alisubiri kwa mda gani!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mi na kumbuka kuna kaka nilikua nasali nae kanisa moja yeye anaimba kwaya sasa kila tukitoka kanisani anatupiga tafu mimi na dada zangu badae akawa anakuja Hadi home anajiiba iba bwana we sister si akamuona akamwambia maza kua uyu anazoeana na yule kijana muimba kwaya na alikua anafanya kazi mie nipo form2 sasa miezi tukapanga na yule kaka kua jumamos nikitoka tuition nipitie kwake anifundishe mahaba yalivyo mana nilikua bdo bikrA we kumbe sister akausoma mchezo bwana we nipo kwa jamaa ndo kwanza nimefika tunashkana mie ndo naona utamu unanoga mara mlango huo ukafunguliwa kutizama maza na sister na brother wangu mkubwa kafula mbona ulikua mtiti mie kilio kama nimefiwa mpaka mjumbe kuingilia bado kdg jamaa apelekwe police unaambiwa jamaa kesho yake alitoroka na begi sikumuona tena mpaka nilipokua chuo ndo tulikutana town kashaoa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
me nakumbuka kuna mtoto wa jiran nilikua namuelewa kumfata naona soo sasa nikaandika bonge barua nikanunua na kadi ya I LOVE U(kipindi cha kadi ilikua si mchezo) nikampa bhasi nimetoka misele nafika home maza akanambia kuna mzigo wako umeletewa na mama naniii(mama wa dem) kufika nikakuta ile kadi aisee nilijifungua hata menyu sikula
Ulikosea kuiandika jina lako... Usinge fanya hivyo ingekuwa rahisi kuikana...
 
Back
Top Bottom