AND jina la mtihani umesoma? TEST EXAMINATION STANDARD VII!!!!! Big results now!
Tuna matatizo kwenye mfumo wetu wa elimu ikiwa ni pamoja na mfumo wa mitihani. Kuna mambo mengi yanayohitaji majibu:
1. Je mitihani tunayotunga inazingatia mitaala? Nani anacheki hili?
2. Je kuna kitengo kinachosimamia ubora wa mitihani na uhakiki?
3. Je kuna uhakiki katika usahihishaji wa mitihani?
4. Je kuna tathmini yoyote unayofanyika baada ya mitihani kufanyika?
Nilitarajia Tume ya Pinda ingekuja na majibu, lakini mpaka sasa imekuwa kimya.

Kwa uelewa wangu ile ilikuwa ni taarifa ya awali na kwamba taarifa kamili ingeangalia mfumo mzima Wa mitihani. Taarifa kamili bado.Mheshimiwa Majibu ya tume yalishatoka na Bunge liliyapitisha kwa kishindo ambapo matokeo yalifutwa na kupangwa upya
Tuna matatizo kwenye mfumo wetu wa elimu ikiwa ni pamoja na mfumo wa mitihani. Kuna mambo mengi yanayohitaji majibu:
1. Je mitihani tunayotunga inazingatia mitaala? Nani anacheki hili?
2. Je kuna kitengo kinachosimamia ubora wa mitihani na uhakiki?
3. Je kuna uhakiki katika usahihishaji wa mitihani?
4. Je kuna tathmini yoyote unayofanyika baada ya mitihani kufanyika?
Nilitarajia Tume ya Pinda ingekuja na majibu, lakini mpaka sasa imekuwa kimya.
Dr F. Ndugulile;
Tuna matatizo kwenye mfumo wetu wa elimu ikiwa ni pamoja na mfumo wa mitihani. Kuna mambo mengi yanayohitaji majibu:
1. Je mitihani tunayotunga inazingatia mitaala? Nani anacheki hili?
2. Je kuna kitengo kinachosimamia ubora wa mitihani na uhakiki?
3. Je kuna uhakiki katika usahihishaji wa mitihani?
4. Je kuna tathmini yoyote unayofanyika baada ya mitihani kufanyika?
Nilitarajia Tume ya Pinda ingekuja na majibu, lakini mpaka sasa imekuwa kimya. Sasa Hapo Ww Gambaz Hayo Maswali Unamuuliza Nani Ayajibu?