Mitihani sasa kusahihishwa na mashine.

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
19,032
49,626
Kauli ya Katibu Mtendaji wa NECTA, Dr Rose Ndalichako, eti mitihani ya darasa la Saba kusahihishwa na machine, ziitwazo Optical Marker Reader (OMR) tuta succeed kweli? au because primary ni ya kuchagua tu?
 
sula siyo usaishaji,ni mfumo wa mitihani yenyewe,na uchakachuaji uliokithiri,mtoto anafaulu kwa wastani wa B,halafu hata kuandika jina lake hawezi,can u imagine?
 
Inawezekana. Hivi zile laptop kwa kila mwanafunzi bado eeh? Tunanunua madawati kwanza?
 
nadahni ni hatua nzuri ya maendeleo ya kielimu lakin swali la kujiuliza je hao watahiniwa wameandaliwa vya kutosha kula kijijin kwa bibi na kula huko mjini?isije watu wakafelishwa kutokana na maandalizi mabaya.
 
Back
Top Bottom