Mitihani hii ya maisha

Mitihani hii ya maisha

Elfu 50 haiwezi kuokoa uhai wa mgonjwa. Nenda baa kunywa bia za 30,000 wakati unapanga na kupangua jinsi ya kuongeza pesa ya kudeal na hizo ishu zote tatu.
 
Kwanza unaongea na Bi mkubwa unamplease kisha mnapitisha wote maamuzi kumsaidia mgonjwa. Asipoelewa unampa mama 50% ya maitaji kisha unarudi kwa mgonjwa. Bila kuchelewa unawacheki wa shule wasimzingue dogo.
 
Back
Top Bottom