Paul Kijoka JF-Expert Member Joined Oct 25, 2010 Posts 1,399 Reaction score 256 Mar 5, 2012 Thread starter #2 Miti mimi nimeipenda sana.
Thinker96 JF-Expert Member Joined Jan 15, 2011 Posts 349 Reaction score 138 Mar 5, 2012 #3 hata me nimeichukia kwan inatisha sana
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,263 Reaction score 17,138 Mar 5, 2012 #4
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Mar 5, 2012 #5 Mkiambiwa msikate miti hamsikii, yakwenu yatafika vipi hali hii na mnaikata kuni wakati ni midogo
Paul Kijoka JF-Expert Member Joined Oct 25, 2010 Posts 1,399 Reaction score 256 Mar 5, 2012 Thread starter #6 Safari_ni_Safari said: Click to expand... Mkuu,naona vibaya au mti huu unatukana kwa kukunja vidole vyote na kunyoosha cha katikati.
Safari_ni_Safari said: Click to expand... Mkuu,naona vibaya au mti huu unatukana kwa kukunja vidole vyote na kunyoosha cha katikati.
Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member Joined May 15, 2009 Posts 7,472 Reaction score 7,276 Mar 5, 2012 #7 Niliwahi kuiona miti kama hiyo nilipokuwa naenda Samunge, kule kwenye bonde la ziwa la Chumvi Natron!! ilikuwa inavutia sana!
Niliwahi kuiona miti kama hiyo nilipokuwa naenda Samunge, kule kwenye bonde la ziwa la Chumvi Natron!! ilikuwa inavutia sana!