Mitego ya wanawake

Strength ya mwanaume ni kuweza kutegua mitego kama hiyo, ukijiona bado unashindwa basi jua kwako maendeleo kuja tutasubiri saana

Sent from my SM-A127F using Furaha ya kikatoliki
 
Unajua hata Samson simlaumu, hata Baba yetu Adam simlaumu. Hivi viumbe acha tu
 
Strength ya mwanaume ni kuweza kutegua mitego kama hiyo, ukijiona bado unashindwa basi jua kwako maendeleo kuja tutasubiri saana

Sent from my SM-A127F using Furaha ya kikatoliki
Tupe uzoefu wako mkuu!
 
Strength ya mwanaume ni kuweza kutegua mitego kama hiyo, ukijiona bado unashindwa basi jua kwako maendeleo kuja tutasubiri saana

Sent from my SM-A127F using Furaha ya kikatoliki
nitumie mbinu zipi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…