Mitego ya wanawake

Girland

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2016
Posts
2,672
Reaction score
4,560
Wanaume wenzangu, kwa nini ni ngumu Sana kuchomoa mtego wa mwanamke akikutaka kimapenzi?

Wanawake wakitongozwa wengi huweza kupangua mashambulizi tofauti kabisa na upande wa pili. Yaani mrembo akutake na akuwekee mtego Matata unachomokaje?

Ladies labda mtuuzie mbinu za kivita, Kama kuhonga tunajua hamuwezi, ni kwanini wanaume wengi hawatoki kwenye mtego?

Kuna watu watakuja kusema wana msimamo nami nitawaambia aidha Siyo pisi Kali au hajakutaka. Akikutaka huchomoki nakwambia.

Uzi tayari
 
Yusufu pekee aliweza kuchomoka ktk dhambi hii, alikamatwa na mke wa waziri mkuu azini naye lakini alifanikiwa kukimbia na kumwachia vazi lake ambalo yule mama alimwonyesha mume wake eti Yusufu alitaka kumbaka. Tumheshimu Mungu.
 
Unakataaje kuchakata mbususu, hiyo ni kazi yetu

Wanaume huwa tuna huruma sana ndo maana huwa tunahakikisha kila mwanamke lazima aingie leba haijalishi ana mguu mmoja, mbilikimo, mwehu, chizi, tahira, kipofu, sura ng'omo

Lakini wao sasa ukikosa mguu mmoja tu kuwapata inakuwa shida
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ni upendo wa Baba au Siyo?
 
Unajidanganya Sana kudhani Kila mtu anavutiwa na Kila kitu

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Wanaume tunaheshimu na kutii sana maagizo ya Mungu. Ile amri ya kupendana ili kutomkwaza mtu tunaitimiza kwa vitendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…