Kama una ma house girl watatu halafu unajifanya kuishi maisha ya juu unafikiri ndugu atakubali kuingia kwenye banda la kuku kuokota mayai ay hata kumwagilia maji michongoma?
Nakumbuka nikiwa mdogo walikuwa wakija wageni kulala asubuhi baada ya chai mama huyo anaingia zake shambani.
Majembe yalikuwepo ya kutosha hakuna kisingizio hata kama umetokea town.
Huku sie tunapangiwa kazi weee mpaka mtu unaanza kufikiri hivi hawa wageni wataondoka lini tupumue?
Kumbe hapo wageni walikuwa wanaonyeshwa kuwa hii nyumba kazi ndiyo mpango mzima bila kujali mkubwa, mdogo au mgeni.
Wageni walikuwa wanatumiwa ipasavyo mpaka kwenda kuteka maji, kukata majani ya ng'ombe na kuokota kuni ati.
Wageni tisa ndani ya nyumba na hakuna anayepiga deki nyumba au kufagia uwanja? That's too much aisee.
Huko ni kuwadekeza. Inaonekena hili tatizo la serikali la kuwafagilia wageni zaidi kuliko wenyeji kiini chake ni kwenye familia.
mmmh!,,,,,,,,,,,, hivi unawajua ndugu wa mume?
kiini chake ni baba manake hata mama akishtaki bado baba anasema kwani nyumba ni ya nani??
Kama wakidekezwa of course. Lakini mume akiwa nao strict watasalimu amri
I see where the problem lies. Kwa hiyo mume anadhani kwa mfano wakiachana leo nyumba itakuwa yake exclusively?
Halafu mke inabidi nae awe na assertive sometimes na siyo kushtaki kwa mume kila mara.
They need to make decisions together as a family na siyo mmoja kushtaki na mwingine kufanya maamuzi.
yaani sasa unakuta kila anyekuja kwa kuwa ni ndugu wa mume ukimtuma kazi hafanyi ama anasema kabaisaa kazi fulan siwez ama nimechoka sijui wewe kama mama utafanyaje. so far ukimshirikisha baba anakwambia kwan anakaa hapa milele?? ndoa jamani hizi acha tu kila mtu ana mapito yake.
Kama wakidekezwa of course. Lakini mume akiwa nao strict watasalimu amri
I see where the problem lies. Kwa hiyo mume anadhani kwa mfano wakiachana leo nyumba itakuwa yake exclusively?
Halafu mke inabidi nae awe na assertive sometimes na siyo kushtaki kwa mume kila mara.
They need to make decisions together as a family na siyo mmoja kushtaki na mwingine kufanya maamuzi.
Aisee, Mimi sisemelei ndugu wa mume, Kama amenishinda nikamwambia tu kuwa nimeshamkatia tiketi ya kurudi kwao, kama Ana maagizo basi ampe
hivi kweli niko alone na kids wafikiri niajali nn zaid ya wanangu?
?
ha haaaa, huyo mume hana ushirikiano naye hata kidogo.......aliwah kufanya hivi ilikuwa balaa nusu zipigwe kwa hasira kwamba anamuaibisha huzzy wake kwa kufukuza ndugu wa mume. dunia hii ioneni hivi hivi
assertive?? hivi how ca some one be assertive while she holds no power??
EMT naomba niku pm tafadhali nikwambie part 3 ilivyokuwaKwa hiyo, kuna tatizo ni balance of power in the house then. This need to be sorted out as quickly as possible.
Marriage is an equal partnership. The wife and the husband govern and are governed by each other in equal measurement.
No one is god except God. No king, politician, man, woman, wife or husband is god except God.
When God speaks to a wife, her first obligation is to Him, not to her husband.
yaani Mr Rocky sijui ni kwann huyu anabeba mimba, huyu nampata kimeo yaani nimepatikana mwaka huu.
yaani Mr Rocky sijui ni kwann huyu anabeba mimba, huyu nampata kimeo yaani nimepatikana mwaka huu.
kiini chake ni baba manake hata mama akishtaki bado baba anasema kwani nyumba ni ya nani??