Hapo kosa la mume aliemshawishi ashukie Dodoma na kukaa nae siku3...kama alimshawishi na kulala nae chumba kimoja,hapo ndipo pabaya sana!kosa ni la nani?angeweza kumkatalia boss wake tena ugenini!na mazingira ya hotelini?kama anapata kinywaji ndio basi tena!hata iweje wababa wana makosa sana kwa HG!atulie nae ampe do and don't zake akiwa anamchunguza!
Smile pole mdogo wangu usikasirike sana, nitamwondosha kabla hajanifayia timbwili mamii. nieuskia ushauri wenu wote.yaani sijui kamlonga ndugu yangu,nina hasira hapa nilipo????????? kitu atamfanyia hatoamini.mume wake akija anahamia nae mtaa wa pili kumpangishia,tena mtu mzima huyo anaweza kukuua a abaki hapo kwako shtuka mamito g
PART 11
baada ya binti kuondoka nikawa nawaza nampata wapi binti mwingine?? bahati nzuri nikapata sms tokana kwa shoga yangu kwamba anabinti msukuma amekaa nae miezi miwili ila anaoa mabinti watatu na anaona hawez kuwa nao wote.
hivyo kama kuna mtu anahitaji mmoja nimwambieee!!!!!!!!!!!!
EMT nimecheka pasi kutarajia aisee!!Nimesona story yako yote, ila hapa ndipo huwa nashindwa kuelewa kabisa.
Inakuwaje mtu anakuwa na house girls watatu?
Huwa wanakuwa wanafanya kazi gani wote hao?
Na wenye nyumba huwa wanafanya kazi gani wakiwa nyumbani?
Family home inakuwa kama ofisi ya vile? Surely, hapo hapo inabidi familia ilipe corporation tax sasa.
Imagine hapo nyumba inakuwa wanawake wanne na mwanaume mmoja.
Mwanaume akikatiza jikoni kuna mwanamke, sebuleni kuna mwanamke, kibarazani kuna mwanamke, na chumbani kuna mwanamke
Hivi hapo mke anakuwa anatarajia nini?
gfsonwin hapo siyo pa kucheka kabisa aisee. It is a concern hasa kwa watoto wadogo kama hao.EMT nimecheka pasi kutarajia aisee!!
ngoja ni justfy kwann shoga yangu anahitaj mabinti 2 ama 3. nyumban kwake kuna kazi nyingi sana, kwanza duka la vyakula ambalo liko ndani, kuku wa nyama mabanda kama 3 hivi, watoto wadogo 3 mkubwa ndo just 9 na mdogo just 3. nyumba ni kubwa sana wageni kwake ni kama stendi.
haya mtu kama huyu anafanya kazi kutoka kombora kurudi majira utegemee nin??
Jamani huo ni ubaguzi makazini !kwann mmbague mtoto kisa umbo lake?sheria inakataa na sio bizuri!avheni afanye kazi zake!poa tambueni na yeye ni binadamu mwili inahitaji service kama wengine pia ni haki yake ya msingi ya kufanya mapenzi!!!
Pia anaweza kuwa alikuwa anafanya hivo kutokana na mazingira aliokuwa anaishi!hovyo usimhukumu kwa historia ya nyuma each case is determined by its own facts!!
Hapo kwako napo kama meeting corner
Mimba place........hili unaliongleaje...it seems sio issue kwako!!!!!
Otherwise pole kwa yote
gfsonwin hapo siyo pa kucheka kabisa aisee. It is a concern hasa kwa watoto wadogo kama hao.
Kwanza, kigezo cha nyumba kuwa kubwa na kuwa na wageni kama stendi sidhani kama imekaa sawa.
A home should remain a home hasa pale panapokuwa na watoto wadogo kama hao.
Sisemi kuwa marufuku wageni kuja home lakini kama wanakuja kama stendi then hapo sidhani kama imekaa sawa.
Kuhusu kuwa na biashara mbili tena zote nyumbani na pia kufanya kazi away from home siku nzima tulishaliongelea kwenye thread nyingine, I think.
Lakini wanakuwa na muda ya kuspend na watoto kweli? Maada wakirudi kazini kuna kupiga stocks, kucheki mahesabu, weekend kujazia stock, nk.
Ila mwanaume anayeishi kwenye hiyo nuymba sidhani kama atamind sana. Women everywhere.
Hayo yanatokea sana, na kwa mazingira yetu huwezi kuwafukuza, ila sasa siyo uwatafutie na hg........ Wakifika nao unawakabidhi kazi, si wote ni ndugu?anyways EMT kuna familia nyingine jamani watu ni kuingia na kutoka. yaani wagen toka kijijini wakija wanajaa humo ndani kila siku.
ofcourse kwangu mm menu sio ishu ila tu ile disturbance manake kila siku hakuna siku watoto wanalala kwa raha manake lazma wabanwe vitandani, kwenye viti hawana uhuru wa kucheza etc.
but hivi kwa maisha ya kiafrika mzazi aliyeangukia kwenye fanilia kama hiyo afanyeje??
Hayo yanatokea sana, na kwa mazingira yetu huwezi kuwafukuza, ila sasa siyo uwatafutie na hg........ Wakifika nao unawakabidhi kazi, si wote ni ndugu?
FP mm sipingi baba kumtafuta mdada wa kazi ila sasa mm nishirikishwe hadi siku ya yeye kufika na sio umtafute huko umlete kwangu uje uniambulishe eti mama Klein huyu hapa anaitwa Fulan ndo atakuwa binti wetu wa kazi.Ndo maana kazi ya kutafuta wadada wa kazi huwa ni za wamama
anyways EMT kuna familia nyingine jamani watu ni kuingia na kutoka. yaani wagen toka kijijini wakija wanajaa humo ndani kila siku.
ofcourse kwangu mm menu sio ishu ila tu ile disturbance manake kila siku hakuna siku watoto wanalala kwa raha manake lazma wabanwe vitandani, kwenye viti hawana uhuru wa kucheza etc.
but hivi kwa maisha ya kiafrika mzazi aliyeangukia kwenye fanilia kama hiyo afanyeje??
EMT hapa hata kama ni vijana bado huwa wanakuwa mzigo sana. manake kwa macho yangu niliwah kusuhudia ndugu wa mume kwa huyu shoga yangu wakigoma hata kudeki nyumba wanadai wamechoka so wanalala na kusubiri muda wa menu waje mezani. alikuwa amejifungua nililazimika kumsaidia mm kazi siku hiyo.Imagine hapo unakuwa na wageni kutoka kijijini wanajaa humo ndani halafu bado unakuwa na house girls watatu.
Wageni wanakaa tuu hata sahani hawaoshi? Labda wawe ni wazee lakini still wanaweza kubaby sit bana wakati ukiwa kwenye mihangaiko.
Of course tuna extended family na vitu kama hivyo, lakini wanapokuwa kama Chande inakuwa haifai.
yaani sasa unakuta kila anyekuja kwa kuwa ni ndugu wa mume ukimtuma kazi hafanyi ama anasema kabaisaa kazi fulan siwez ama nimechoka sijui wewe kama mama utafanyaje. so far ukimshirikisha baba anakwambia kwan anakaa hapa milele?? ndoa jamani hizi acha tu kila mtu ana mapito yake.
EMT hapa hata kama ni vijana bado huwa wanakuwa mzigo sana. manake kwa macho yangu niliwah kusuhudia ndugu wa mume kwa huyu shoga yangu wakigoma hata kudeki nyumba wanadai wamechoka so wanalala na kusubiri muda wa menu waje mezani. alikuwa amejifungua nililazimika kumsaidia mm kazi siku hiyo.
tena acha kabisa ilifika wakati akawa anahire deiwaka wa kumdekia na kufagia uwanja na kufua ilihali ndani kuna watu 9 wagen wakiume kwa wakike.
kimsingi ishu ya huyu dada huwa naona mume ndo chanzo manake angemsapoti wife ndugu kidogo wangekuwa na discipline