Ha ha ha.. Haikwepeki hiyo gfsonwin.. Cha muhimu ni kuwapa darasa tu wanao kwamba if they can't abstain then they should use condoms.. Unajua wakati ule nafanya mambo hayo ukimwi ulikuwa haujasambaa.. Maana ciku hizi beki 3 ndo anachangia kuambukiza ukimwi ndani ya nyumba.. Imagine watoto wa kiume wale mzigo.. halafu kumbe baba nae anakula.. Ni hatari ila kuwa open kwa watoto wako.. Ukiwaambie wacifanye lazima watafanya..
::
Hongera kwa kuwa una BARAKA YA NDOA namaanisha kuna familia zinalea mabinti mpaka sura zinajitapanya,,miguu hadi inakataa vipodozi HAWAOLEWI
Ila wewe wengi wakifika kwako milango inafunguka.
=
Tehetehetehe..................nyie viumbe watu bhana!!!!
(nimependa kwenye mikono wakati tunazaliwa)
trials and tribulations of growing up, don't be so pessimistic. mwanao sio the first handsome boy kukaa na housegirl.Blaine mtoto hakui kwa mama sio?? na hope you know kwamba kila mama hupenda mwanae mabaya yamwepuke sio?? nitajilaumu sana kama kwa namna yyte ile nimegeuka direct or indirect mtego kwa mwanangu. namjua ni mzuri sana wa sura na hivi amebalehe basi wengi watamtamani.
kama mama yanipasa kumwombea na kusema nae ingawa i will be regretful kwa kumtega mwanangu.
khaa! leo umekuwa mkali namna hii ama kweli klein ana mama.
mwali klein hata mkuta nakuapia.nitamwondosha kabla hajafunga shule
naachaje kuumwa tumbo sasa!
lol!
sawa atakuja kuyafanya lakini sio kihv jamani tena kwa kitu tayar umeshapa some notch!
halafu kwanza huyo shoga huyo nae simwangalii kwa jicho zuri!
kwanini anakuletea mdada bila kukupa kisa na maana cha kumtoa kwake?
ye nafaham mamii. wewe si unapajua kwangu ishu ni klein kwa sasa baba yake mpaka arudi hawataonana pengine
then weka houseboy atakayefanya kazi za ndani kuondoa wasiwasi..... oh! wait bado utakuja na uzi mwingine kusema unahofu wataliwa 0712hapo ndo ambapo hua pananipa mtihan.
sijui nitasemaje kwa utani gani anielewe