mmmh! sasa wewe mbona unanitisha?? anyways nitamtoa b4 she does any harm.Pole sana gfsonwin!!
Hata hvyo I have seen something valuable within yourself!!
Ila jiandae jinsi ya kutuandikia part III hapa labda kama dunia itaacha kuzunguka, naweka dau!!
Tuvute subira!!
Pole!!
bado hujaiona!ungekuwa umeiona tayari ungeshasema!mwali naona taa ya njao kwangu.
mmmh! sasa wewe mbona unanitisha?? anyways nitamtoa b4 she does any harm.
what is that valuable thing within me??
neggirl huwez kuamini wakaka wang wa shambani huwa wanaoana na wadada wangu wa ndani. anyway labda nitefute makazi mapya ambayo hayatanilazimu kukaa na mdada na mkaka ila hapa ninapoish kwa sasa ni lazima.
nashukuru kwa tahadhari
mmmh! sasa wewe mbona unanitisha?? anyways nitamtoa b4 she does any harm.
what is that valuable thing within me??
bado hujaiona!ungekuwa umeiona tayari ungeshasema!
mwali mi nampenda klein ujue oh!
hebu nifanyie la muhimu basi!please!please!swali langu hutaki kujibu UNA KADI YA KILINIKI YA HUYO DADA?
mwali sina ila ni 21 yrs. namtoa fasta mwali nisije lia hapa klein wangu katendwa bureee akina SnowBall wakanishangaa
Avatar yako!!
(nakutania)
Jinsi ulivyohandle hizo situations du!!!! nimekukubali!!!! Bravo sana!!
Najua wanaume na wanawake wamekutamani sana hio spirit yako!!
Hv hauna hata kabinti kamoja kakuzaa mwenye spirit kama yako ili nianze kupiga ndogondogo, ila da naogopa sina kazi ya maana hapa mjini!!
UNA HURUMA SANAAA!kuna wakati mwanadamu anapaswa kuwa mbinafsi bana!
we unajua hata tukizaliwa mikono inakuwa imefumbatwa!maana yake :VYANGU!MIMI KWANZA!
katika hili niache tu niwe mkali!please please!nishakwambia mabwe mbali!af sa hiz barabara haijatengenezwa vizuri shauri yako!
khaa! leo umekuwa mkali namna hii ama kweli klein ana mama.enh basi kama huna kadi lake ondoa hapo nyumbani!kama vipi nipitie kabla sijaendelea na safari nishuke hapo njiani!
ah!we unaona kanga fupi unafkir mwanangu anaona nini!
bora SnowBall akushangae mi utakuwa halali yangu i see!
unajua sosoliso kuna siku nilikuwa naongea na mtu mzima sana akaniambia haya haya kwamba enzi za ujana alijifunzia ku du kwa wadada wa kazi wa home kwao. sasa ile impression bado ninayo kwamba hata wanangu kama ni wa kiume nitegemee haya""--""
hhahahah! jamani hii nayo ni sifa ama sijielewi ujue.::
Hongera kwa kuwa una BARAKA YA NDOA namaanisha kuna familia zinalea mabinti mpaka sura zinajitapanya,,miguu hadi inakataa vipodozi HAWAOLEWI
Ila wewe wengi wakifika kwako milango inafunguka.
=
hahahah! mm ni mama vibaba ujue.