Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,289
- 40,522
- Thread starter
- #61
hapo inatakiwa uanze kutafuta karanga mbichi na vipande vya nazi lazima aje mkuu hawezi chomoaMm mwenyewe leo hii nimemwambia mtoto mzurii Nina hamu na pilau ila sijui pika,kaniambia niandae kila kitu alivyonitajia.
Yaani nilifurahi hadi wadhungu wakaanza kutoka hata hajafika.
Nasubiria aje nimkunje kunako kwa bed mpaka baraaa


