Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,289
- 40,522
- Thread starter
- #41
Kwa hiyo waje kula kuku waende tuSikukatishi tamaa ninakulinda na mauti.
Take care.
Kwa hiyo waje kula kuku waende tuSikukatishi tamaa ninakulinda na mauti.
Take care.
Haha haha haha mku utapiga mpaka wanaojifanyaga wagumu usicheze na nyama ya bata mzingaThis trick real work. Sasa mm nafuga mabata mzinga
Inaonekana huna ndoto na malengo.Kwa hiyo waje kula kuku waende tu
Haha haha haha mku utapiga mpaka wanaojifanyaga wagumu usicheze na nyama ya bata mzinga
Huyo mwanamke anayekamatwa kwa pilau na kuku huwa hata kuoga anajua kweli?Hawahesabiki kirahisi
Unamnyonyoa mwenyewe anakuta nyama kwenye friji anachukua kiasi anakaangaMkuu nahofia kuwa nwanamke hawezi kumnyonyoa bata mzinga
Wapo smart kuliko unavyofikiria kumbuka tunatumia udhaifu wa mwanamke kupenda kula vizuri ndio tunapenyea hapohapo kuwanasaHuyo mwanamke anayekamatwa kwa pilau na kuku huwa hata kuoga anajua kweli?
Agatha mambo vipiUtoto rahaa
Unamnyonyoa mwenyewe anakuta nyama kwenye friji anachukua kiasi anakaanga
Haha haha kwa pilika za pilau mpaka amalize atatoka jasho sanaSasa mzee asipochafuka wakati wa kukatakata kuku na kunyonyoa ataomba kwenda kuoga kweli??
Mapepo yapo aina nyingi sasa pepo gani unalikemeaToka pepo
PoaAgatha mambo vipi
Haha haha kwa pilika za pilau mpaka amalize atatoka jasho sana
Na ataliwa nyamaYaan kitendo cha kukubali kuitikia wito tu ata usipochinja kuku lazima yeye achinjwe hakuna namna
God bless youHeb ngoja ntajaribu weekend ijayo. Nitakupa mrejesho. Maana hii nyumba niliyopanga ina mabanda so nimefuga mabata mzinga ya kutosha
Haha haha unatumia udhaifu wao wa kupenda fedha zetuHuwa nakwenda benk naomba buku buku za elfu hamsiñi nachanganya na makaratasi mengi inaonekana bundu kubwa kinachofuata mbupu