Best Anko
JF-Expert Member
- Sep 5, 2019
- 409
- 778
sikumaanisha nyumba nzima ndo laki moja, hio ni bei ya chumba na sebure. unaweza kuta nyumba ina vyumba kama 10 so bado mtu anapata hela nzuri.Umenielewa? Kwamba ujenge nyumba upangishe kwa laki 1!!..jitahidi kusoma na kulelewa ..maana nimeiandika...