Mitandaoni huko kuna mambo

Charliemic

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2019
Posts
604
Reaction score
979
Asee yaani social media imeleta mabadiliko makubwa saana katika maisha ya kila siku. Nimeamini kuwa wanawake wengi saana wanajiuza ila tatizo ilikuwa ni eneo la kujiuzia na muda.

Sasa hv kupitia instagram na makundi ya wasap unakutana na wadada wazuri yaani huwezi kuwadhania, wengine ni waajiriwa katika taasisi mbalimbali. Wanauza papuchi zao kupitia hiyo mitandao. Huko mnakubaliana kila kitu
Kwa maana ya mapatano ya bei ya kununua, pa kukutania na muda mkikutana mnayamaliza.
 
wanafanya biashara kistaarabu badala ya kujipanga kwenye mabaa
 
Ukaamua usiwaache ivi ivi ukaja nao huku...sasa si ungechukua ata namba moja.
 
Kila napo ona whatsapp insta na facebook roho huwa ina niuma sana japo siwezi acha kuvitumia. Mitandao hii hii imenikosesha ndoto za kuwa na familia (kuwa na mke na watoto) hii ni baada ya kumkuta mwenza wangu ambaye nimedumu nae kwa mda mrefu sana akifanya mambo ya ajabu sana kweny hii mitandao. Na bado ukicheki wadogo zetu dada zetu kaka zetu kila pakikucha picha video na story tunazo kutana nazo humu zina ashiria hiki kizazi kina karibia kufika mwisho wake. Kuna mda natamani hii internet izimwe kbsa ila ni kitu hakiwezekani kwan internet hii hii ni ofsi za wengine. Ndio njia ya kuwasiliana. Duuuh tusalini sana jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…