Malaria Sugu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 2,653
- 264
Mh Samia ametutukanisha Wamakunduchi wote kuonekana siwo wamana.
Kuna watu huliza huko Makunduchi kuna nini hata ikawa badhi ya viongozi na watu kutoka huko kuwa wakorofi ktk maendeleo ya Zanzibar?
Maana nikipindi kifupi tu Kificho katukoroga mara Samia huyo nae? mara kura ya maoni kukataliwa sasa ikiwa itakuwa hivi mutatufanya wamakunduchi wote siwo wamaana nilazima tubadilike na tuweke uzalendo mbele wa nchi yetu tusijetukaonekana watu kutoka Makunduchi ndio kikwazo cha maendeleo na kufahamika vibaya mbele ya jamii.
Mh Samia ametutukanisha Wamakunduchi wote kuonekana siwo wamana. | MZALENDO.NET