Mitandao ya urais yaanza kuundwa

Mitandao ya urais yaanza kuundwa

Hao wanaounda mitandao nadhani wamesha sahau kilichotokea 2015!
 
Mitandao ya wanaotamani kuwa viongozi wa juu wa Tanzania , hasa nafasi ya Urais imeanza kuundwa.

Wanaotajwa kuundwa kwa mitandao hiyo ni baadhi ya mawaziri waandamizi wa serikali ya Rais John Magufuli na wale walioshindwa kupata uteuzi katika serikali hiyo mpya.

Hatua ya Mawaziri hao inaakisi mienendo aliyopitia Dk Kikwete kabla ya kuwa kiongozi mkuu wa Tanzania.

Dr Kikwete aliwahi kukiri kuwa alitumia muda mrefu kuhakikisha anaweka mikakati na kuwa na mtandao ambao ulimuweka ikulu .

" Kura zangu hazikutosha mwaka ule , lakini sikulala , nilianza kupambana siku ile ile na baada ya miaka 10 , hatimaye kura zikatosha .

Chanzo - MwanaHalisi .

Swali - Mitandao hii ni kwa ajili ya 2020 au 2025 ?
Hiki kijarida nimeacha kukisoma muda mrefu,Ni sawa na kusoma udaku udaku tu
 
Kuna haja ya wananchi kuyasusia baadhi ya magazeti........

Ya kiuni yanayoandika upumbavu kama huu..............

Watu wanapoteza muda kusoma magazeti ya kiuni kama haya halafu wengine tukisusia na kuanza kusoma Magazeti ya Daily mail,The Sun,The guardian mnasema tumekosa uzalendo...........

Uchaguzi umeisha juzi Sasa hivi eti mitandao? How comes upuuzi mtupu.........
At least you're coming back to your senses, this stupidity of criticising without fundamental evidence is derailing the work of this government.
 
Kwa kweli kwa jinsi hali ilivyo, wacha mitandao ianze mapema ili 2020 pachimbike tu.
Wasubiri 2025 huyu wa sasa Anatitosha kabisa,, hata wakisema hakuna haja ya kupoteza fedha za uchaguzi tuendelee naye huyu huyu wa sasa hadi 2025 ni safi tu.
 
Mwanahalisi habari hii mmeihakiki lkn maana hamchelewi kuambiwa muombe msamaha......shauri ynu.
 
Kumbuka MwanaHalisi leo hii wameomba radhi kwa kuandika uongo.
Jirani yako akikuambia kuwa mkeo anazini, kisha wewe ukapanic na kuanza kumzodoa huyo jirani yako, je, huyo jirani yako akikuomba msamaha mkeo atakuwa hajazini? Hebu tuonyeshe uongo wa Mwanahalisi pale ambapo kuna tuhuma za ufisadi katika Shirika la Elimu Kibaha, ambalo liko chini ya Tamisemi ambayo iko Ofisi ya Rais! Jiongeze...
 
Sina cha kukulipa mkuu .
 
Unalinganisha mlima na kichuguu
 
Kama walichoandika ni sahihi wasingeomba radhi
Nimeambiwa Radhi imeombwa kwa kutumia picha ya mkuu ukurasa wa kwanza , lakini habari ile na zingine ndani yake ni sahihi kuliko ukweli wenyewe .
 
Mitandao ya wanaotamani kuwa viongozi wa juu wa Tanzania , hasa nafasi ya Urais imeanza kuundwa.

Wanaotajwa kuundwa kwa mitandao hiyo ni baadhi ya mawaziri waandamizi wa serikali ya Rais John Magufuli na wale walioshindwa kupata uteuzi katika serikali hiyo mpya.

Hatua ya Mawaziri hao inaakisi mienendo aliyopitia Dk Kikwete kabla ya kuwa kiongozi mkuu wa Tanzania.

Dr Kikwete aliwahi kukiri kuwa alitumia muda mrefu kuhakikisha anaweka mikakati na kuwa na mtandao ambao ulimuweka ikulu .

" Kura zangu hazikutosha mwaka ule , lakini sikulala , nilianza kupambana siku ile ile na baada ya miaka 10 , hatimaye kura zikatosha .

Chanzo - MwanaHalisi .

Swali - Mitandao hii ni kwa ajili ya 2020 au 2025 ?
CCM hatuna mitandao,wenye mitandao walihama nayo.
 
Kumbe chanzo ni gazeti la kufungia utumbo,hakuna kitu hapo
 
Back
Top Bottom