tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 501
Soon navunja laini yao yaani. 500 dk 15 ,sms 250, mb 8. Nimerudia kuangalia mara kumi nimehisi macho yangu yana matatizo.
pesa ya kampeni inakusanywa,serikali mufilisi
huu ni usenge sasa!!!1000 , 8mb.!! Au mitambo imekosea!!?
Naombeni namba ya PINDA.
pumbavu mmekosa vya kuiba washenzi kabisa nyie, fungeni kibiashara chenu tuachieni tigo airtell na sasa via tel inakuja , tunasema ondokeni jamani tumewachoka weziiiiWaondoke waende wapi?! We ndio uhame,hee, jinga kabisa.., hama!
Hawa wezi vodacom ili wajue ni kiasi gani tumechukia inabidi kwenda kwenye Facebook page yao na kuwalalamikia kwa sana. tukifanya hivyo zaidi watu mia na watu wengine wakaona malalamiko yetu nina imani watajirekebisha.