Bi mkubwa ana kazi kubwa sana mbeleniLilitoka Tangazo TCRA kuwa warudishe vifurushi vya zamani wakati wanapitia upya new rates. Wamegoma kwa viburi na DG hajafanya lolote.
Jana Rais kampa angalizo juu ya "uchafu" uliopo TCRA. Naona bado DG amelala, haamini kama kuna uchafu katika makampuni ya simu! Wana viburi.
Ukiangalia Royal yao ya elfu 10, bado wamegoma kuirejesh wkati wanapitia upya kama walivyoagizwaHalotel ni GB 1 na dakika 100 kwa buku moja tu.
asipokuwa mkali kidogo watamzingua na kumchezea. YEYE AFANYE KIMYA KIMYA, ANATOA AGIZO HUJATEKELEZA, MSIDWA ANATOKA NA TANZAGAZO LA KUTENGUA, BILA KELEL KAMA JIWE. WATASHTUKABi mkubwa ana kazi kubwa sana mbeleni
Anasema, "tuongee nao taratibu"Bi mkubwa ana kazi kubwa sana mbeleni
Fyekelea mbali woote haoLilitoka Tangazo TCRA kuwa warudishe vifurushi vya zamani wakati wanapitia upya new rates. Wamegoma kwa viburi na DG hajafanya lolote.
Jana Rais kampa angalizo juu ya "uchafu" uliopo TCRA. Naona bado DG amelala, haamini kama kuna uchafu katika makampuni ya simu! Wana viburi.
Naunga mkono wazo ulilotoa. Hakuna haja ya kupiga kelele. Atengue uteuzi wao kwa kushtukiza. Kimya kimyaasipokuwa mkali kidogo watamzingua na kumchezea. YEYE AFANYE KIMYA KIMYA, ANATOA AGIZO HUJATEKELEZA, MSIDWA ANATOKA NA TANZAGAZO LA KUTENGUA, BILA KELEL KAMA JIWE. WATASHTUKA
Sasa akifanya hivyo,si mtaanza kumuona Rais hana ubinaadamu Kama Magu alivyokua anatumbua live mkaanza na kumchukia!? Wadanganyika sijui mnataka nini!?Naunga mkono wazo ulilotoa. Hakuna haja ya kupiga kelele. Atengue uteuzi wao kwa kushtukiza. Kimya kimya
Yaaani hadi rahaHalotel ni GB 1 na dakika 100 kwa buku moja tu.
Kubwa kuliko anavyo dhania/tarajia. MUNGU amsaidie/atusaidie.Bi mkubwa ana kazi kubwa sana mbeleni
Halotel ni GB 1 na dakika 100 kwa buku moja tu.
Huku mm huku bado na menu ile ile ya maumivu ama unapiga ngapi kupata mabadilikoYaaani hadi raha
Hawa vodacom, halotel, tigo and company wanafidia yale mabilioni ya pesa jiwe aliwanyang'anya kimabavu.Bi mkubwa ana kazi kubwa sana mbeleni
Vp speed lakn s ya kinyonga?Yaaani hadi raha