Mitandao ya kuagizia magari kwa kutoka dubai. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mitandao ya kuagizia magari kwa kutoka dubai.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Rich Dad, Aug 3, 2012.

 1. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wana JF,

  Naomba mwenye website za mitandao ambayo inauza gari second hand kwa dubai anirushie hapa. Nasikia gari zipo cheap sana kwa dubai kama ilivyo Japan.
  Thanks alot.
   
 2. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Mkuu google used cars from Dubai utapata jibu fasta. Ila gari toka Dubai zitakuwa third hand, ni sawa na kununua toka kwa mtu hapa bongo
   
 3. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,590
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Tofauti ya kununua Dubai na Bongo ni kwamba la kutoka dubai linakuwa liemtembea kwenye barabara nzuri kwa hiyo suspension system yake inakuwa in betterorder as compared to kununua kwa mtü Bongo. Vilevile dubai huwa kuna garage za kuzifanyia gari marekebisho kabla ya kuziingiza sokoni...
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
 5. s

  sithole JF-Expert Member

  #5
  Aug 9, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 304
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Wakuu mbona tunapenda kudanganyana hivi?Dubai kuna duty free port, so wafanya biashara wananunua kutoka Japan na wanakuja kuyauza Dubai, na si kweli ya kwamba magari yanatumika Dubai then ndio yanaletwa huku!Pia Dubai wao wanatumia left hand!na kule kuna sheria kali si kama huku kwetu,gari la right hand haliruhusiwi kukatiza barabarani,hata ukinunua gari for export linatakiwa lipakizwe kwenye recovery kwenda port.

  Gari Dubai ni cheap than Japan kwa kiasi kikubwa tuu!nilinunua gari Dubai Rav 4 ya mwaka 2002 kwa USD 8,000 Wakati Japan wangenilima USD 10-11,000 cif!watch out!
   
 6. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #6
  Aug 9, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,590
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  sithole
  Kwa kutumia simple mathematics unachosema kinakataa. Yaani mtu anunue gari Japan, alisafirishe mpaka Dubai, alipie gharama nyingine za usafiri wa ndani Dubai, halafu aliuze kwa bei ndogo kuliko Japan. Huo utakuwa muujiza sawa na kuikuta meli kipawa airport ikisubiri abiria.
  Hata hivyo dunia haiishi miujiza kwa hiyo, iwapo muujiza huo upo, tuwekee hapa website inayouza magari Dubai kwa bei ambayo itakuwa cheaper kuliko www.tradecarview.com
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #7
  Aug 9, 2012
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  mkuu uko sahihi sana tatizo wabongo tunapenda kuzungumzia jambo ambalo halina ukweli ili tu mtu uonekane na wewe umo katika wanaojua ki ukweli gari za dubai ziko katika hali nzuri sana na isitoshe bei huwa chini kuliko hata Japan kwenyewe
   
 8. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #8
  Aug 9, 2012
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  kong'ota hapa +971 9301359 kwa uhakika wa kupata Gari toka Dubai bei hadi usafiri mpaka Tz utoaji juu yako
   
 9. mito

  mito JF-Expert Member

  #9
  Aug 9, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,652
  Likes Received: 2,038
  Trophy Points: 280
  Mkuu sithole yuko sahihi isipokuwa ameshindwa kujua ni kwanini magari ya japan ni cheaper dubai (hata kwa FOB price) kuliko japani kwenyewe. Ukweli ni kwamba dubai wanaagiza magari yaliopata ajali japani halafu wao wanayakarabati na kutuuzia sisi. Mara nyingi utakuta magari yao yamechomelewa chomelewa kwenye engine huko, cylinder head n.k

  Kifupi ni kwamba hayana hali nzuri kuliko ya japani
   
 10. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #10
  Aug 9, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Fungua hii web utapata www.dubizzle.com mimi gari huwa nanunua sana kwa hawa jamaa natumia nikichoka nauza'
   
 11. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #11
  Aug 9, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mzee kama kitu hujui uliza tu uambiwe'mimi naishi hapa dubai'na sana nanunua hizi gari zilizo kwenye mitandao ziko ok kabisa natumia hapa hapa nikichoka nauza'kabla hujaruhusiwa gari kuingiza barabarani lazima ikaguliwe kama ina tatizo na kama haona kiwango huruhusiwi kuingiza njiani'fungua web hii halafu niambie wapi gari rahisi japan au dubai www.dubizzle.com
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. s

  sithole JF-Expert Member

  #12
  Aug 10, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 304
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Wakuu mimi naongea sio kiushabiki,wala ki business!nimenunua magari dubai,kuna eneo linaitwa AWIR(Sijui kama nimepatia spelling)ila huko ndiko kuna showroom zote,nilinunua coaster mayai 2002 model na hapa ni bei za the same car japan na dubai.

  CIF Japan USD 35,000 hapa naongelea manual Engine 1HZ.

  Nilipokua Dubai niliipata the same car FOB Dubai USD 20,000 ukiweka transport plus inspection like USD 3,000. na ni gari excelent!

  Tusiongelee ushabiki wakuu!tuwe na data!kama unataka gari dubai wala usiwe na wasi wasi wowote!

  Na pia kama ni mnunuzi wa gari Japan mtandao wa TradeCar View siuaminigi saana!wasanii wengi sana kule!huchelew kuletewa kitu body limeoza!
   
 13. s

  sithole JF-Expert Member

  #13
  Aug 10, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 304
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Mkuu napingana na wewe kwa nguvu zote kwamba magari yanayouzwa Dubai yanakua yaliyopata ajali!huo si ukweli hata kidogo!ninachokijua ni kuwa waarabu wenye showroom Dubai pia wanamiliki showroom Japan pia!kwa hiyo wakinunua minadani kuho Japan mengine ndio wnayapeleka Dubai kwa ajili ya kuuza!

  Ila sishangai sana,manake sisi wa Tanzania tukiona kitu kinauzwa bei ya juu tunajua ndio bora!so kwa kukuaminisha wewe agiza tuu Japan ila wanaotaka kitu cha bei cheap,same quality Dubai is the best.
   
 14. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #14
  Aug 10, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,590
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Kuna watu humu wanatumia akili za Alibaba. Sisi wote watuwazima jamani tusidanganyane.
  Kama unazungumzia gari la quality ileile, fafanua jinsi mtu anavyoweza kulinunua Japan akalisafirisha mpaka Dubia, halafu huko Dubai akaliuza kwa bei nafuu kuliko bei ambayo gari hilo linapatikana Japan?
  There is no equillibrium hapo.
  Kama Dubai watakuuzia gari lilipata ajali likafanyiwa marekebisho sawa, lakini usiseme gari la quality ileile lililoingizwa Dubai toka Japan linauzwa bei ndogo Dubai kuliko Japan. Hakuna kitu kama hicho. Itakuwa DECI hiyo...
   
 15. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #15
  Aug 10, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,590
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Tuachane na nadharia:
  Angalia hii gari kwenye mtandao ulioleta wa Dubai. Gari inauzwa USD 5700, imetembea kilometre 150000 Dubizzle Dubai | Rav 4: Rav4 Going Cheap American Specs 21000 VGC

  Halafu ifananishe na hii hapa ya Japan inauzwa USD 4500, imetembea km 68155. Toyota RAV4 SXA16G(1998) / J5

  Kama unamfano wa matching za aina hii kati ya Dubai na Japan lete hapa. Tafuta any deal ya Dubai ambayo unaona ni the best deal, mimi nitakuletea deal ya Japan ambayo ni better kuliko hiyo, ili tuongee kwa mifano siyo maneno matupu.
   
 16. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #16
  Aug 10, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,590
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Katika mtandao ulioleta wa Dubai the cheapest RAV4 inauzwa USD 4000, imetengezwa mwaka 1997 na imetembea km 215000 Dubizzle.com | Advertisment

  Katika mtandao wa kijapan RAV4 ya mwaka 1997, iliyotembea km 95860 inauzwa USD 2255 Toyota RAV4 E-SXA11G(1997) / LONG FRONT GUARDE / US$2,255 / 95,860 km / REAL MOTOR JAPAN Jr. - Japanese Used Car [ tradecarview ]

  Lets speak with evidence jamani, kusema kwamba umeishi Dubai is not enough evidence.
   
 17. D

  Dina JF-Expert Member

  #17
  Aug 10, 2012
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 2,824
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Usibishe sana ndugu yangu, mie nashuhudia ni kweli, kwani ni mhanga.
   
 18. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #18
  Aug 11, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Shukrani sana wakuu wangu!
   
 19. a

  anthony minde New Member

  #19
  May 5, 2013
  Joined: May 3, 2013
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  habar,, hiv nikiwa na 6mil naweza pata gar nzur ya kutembelea?
   
 20. faby

  faby JF-Expert Member

  #20
  May 6, 2013
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 2,231
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ongeza moja na nusu nikupe
   
Loading...