Mitandao ya kijamii noma mtu kasahau mtoto

Mitandao ya kijamii noma mtu kasahau mtoto

kuchangumu

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2014
Posts
724
Reaction score
290
ImageUploadedByJamiiForums1402082890.194455.jpg
 
Ooyooo katoto kazuri sana kametulia kama uwa la waridi la mkoa wa mpemba au chake chake
 
Dogo akiwa mtukutu peke yake hapo anajichezesha hadi anaanguka.

Kiongozi swali la kizushi - je picha dogo alipigwa na nani?
 
Kazuri hii picha nlikua nayo kitambi sana

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Dogo akiwa mtukutu peke yake hapo anajichezesha hadi anaanguka.

Kiongozi swali la kizushi - je picha dogo alipigwa na nani?
Hata mimi nashangaa nani alimpiga picha.
 
Watoto raha hasa wakifanya vituko vyao huwa napenda sana
 
Back
Top Bottom