Mitandao ya kijamii na dada zetu

hela ndogo sana nipe mimi number nitumie fursa hela watapata cha moto watajutia
 
Umejitahidi kutunga hadithi yako ila ongeza bidii

Hii sio story ya kutunga personally imenikuta kunamdada aliniomba elfu30 akasema atm ATM yake imemezwa na ilikuwa jmo kwahiyo mpaka kuipata j3 anashda sna cjui nn
 
Hii sio story ya kutunga personally imenikuta kunamdada aliniomba elfu30 akasema atm ATM yake imemezwa na ilikuwa jmo kwahiyo mpaka kuipata j3 anashda sna cjui nn

Hhahhaha...yan kuna wadada wanajirahisi kushinda ata maana yenyewe ya neno..
 
hela ndogo sana nipe mimi number nitumie fursa hela watapata cha moto watajutia

Naku-pm mkuu...changamkia fursa...m niko kwenye zoez zito la kubana matumiz na kua mbahil..
 
uache kukubali friend requests za watu usiowajua!

Na wewe unaleta maajabu sasa, sasa mtu unayejuwana naye ana ulazima gani wa kuanzisha naye urafiki?

Mimi nahitaji connection na watu wapya wenye faida na siyo wale mnaopiga soga pamoja muda wote kuna jipya gani?
 
haya usilalame ukiombwa hela…toa sadaka
 
Mwanaume wa aina yako wewe unakubali urafiki na kugawa no kama pipi afu unalalamika?
Acha huu ujinga
 
Na hilo si wewe tu
wengine wanaomba
1. pesa ya saloon
2. pesa ya kumalizia ada ya chuo
3. kuongezea kumalizia kodi ya chumba
4. vocha
5. kununua dawa anaumwa malaria
6. kununua chakula ana njaa
7. kusafiri- kuhudhuria mazishi
8. anakopa kwa ajili kuongezea mtaji
9. mtoto ada - wale single mums

na hata mtu hmjui wala hujawahi kukutana naye!! they have guts!!! sasa ole uoneshe yuko interested!! umekwisha na usipotuma mawasiliano anakata hheheeee
 
Mwanaume wa aina yako wewe unakubali urafiki na kugawa no kama pipi afu unalalamika?
Acha huu ujinga

Sikumbuk nlipolalamika.... nimetoa taarifa either kuwa-alert wadau kuhus aka katabia kalikoibuka ka wadd awa
 
Hahaha...ndo mana ck iz ukitaka kuoa unafunga macho na kujitoa ufaham maana unaeza kustukia unaoa miongon mwa izo aina...looo!!
 
Mkubwa kwa ufahamu wangu ndege kigoma ipo moja tu na ni ya saa sita hadi tisa. Alidhani shamba la bibi
 
Mkubwa kwa ufahamu wangu ndege kigoma ipo moja tu na ni ya saa sita hadi tisa. Alidhani shamba la bibi

Haha...hua natoa ila sio kijinga namna iyoo...ataa ivo she had a wrong timing..tehe
 
Nakusapoti kwa hio sera yako ya ubahili nami naiadapt maana naona hela yangu inaishia kwenye bia na nyamachoma tu. Sasa hivi Coca itahusika sana.
 
Nakusapoti kwa hio sera yako ya ubahili nami naiadapt maana naona hela yangu inaishia kwenye bia na nyamachoma tu. Sasa hivi Coca itahusika sana.

Kaka coca mbona paref sanaaa!!!... hahaa apa ni "maj ya kuchemsha"...
Bg up kwa discover iyo
 
Ngoja nikuitie bingwa wa kuhonga, wewe muoga sana wa maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…