Mitandao ya kijamii kama Instagram,Facebook imefungwa

Kibibi kioga hiki sijapata kuona.
Si wamesema wao wanapendwa na wananchi na wameshinda kwa kishindo?

Wanaogopa nini sasa?
 
Hivi mzee. wetu Hafidh Ameir aliwezaje kuishi na Mwanamke mjinga, kibonge, mfupi kama Samia???!!!
Ukiachana na changamoto za kibinadamu, Rais Samia, Kikwete, Mkapa, Mzee Mwinyi Senior, Mzee Nyerere, ni watu wa maana sana. Ila Magufuli JPM, hapana kwa kweli. Pale system ilikosea. Labda Mzee Membe Bernard angeweza kufaa kama alivyofaa Mzee Mkapa.
 
Samia hakutakiwa kuwa hata mjumbe wa nyumba 10, Elimu 0, Akili 0. Kajaza hisia kwenye kuendesha nchi kama anaendesha kikundi cha taarabu.
 
Back
Top Bottom