Jigsaw
JF-Expert Member
- Jun 17, 2011
- 1,823
- 684
Namshukuru mungu kwamba nimeweza kuwa shirikisha ndugu jamaa na marafiki na kukubaliana kwamba sasa imetosha kwa CCM kuendelea kuwa madarakani kwani kila kukicha mtanzania ni yule yule na umaskini ni ule ule. Mitandao ina saidia sana. Na tusione aibu kuwashawishi ndugu zetu kubadili fikra za kikoloni na kukubaliana na safari ya matumaini. Tutashinda October inshallah.