Morgan Fisherman
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 1,894
- 2,228
habarini
kuna mitandao mingine mingine ya simu ipo kama imerogwa na ni matapeli wa kutupwa..unakuta unazima data unazima kila kitu halafu unaweka vocha unakuta wamekula 40 au 50 ukiwapigia wanakwambia eti uilku hujazim data
hawa wanahitaj kucharazwa viboko hii tabia iishe.